Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina body spray yake hii..?achana na spray kamata perfume kabisa
epic adventure sh. 40000 mpaka 50000/-
ipoHaina body spray yake hii..?
Duka gani nikienda ntapata original mkuu..?
tembelea maduka unayojua yanasifika kwa kuuza bifhaa hizoDuka gani nikienda ntapata original mkuu..?
Word. Mkuu hebu gawa hayo maujanja, tunapataje madude ya ukweli kwa bei nafuu? i hate buying an item at a higher price while i could get same at lower priceBoys huwa wanatoa comments kama hii uliotoa. Watu wanatumia vitu kulingana na uwezo wao wa kifedha au misimamo yao. Kingine wewe unaweza kujisifia unatumia cologne ya 300,000/- wakati umepigwa tu wenzio tunanunua $50. Kuna cologne kibao hapa mjini(OG) zinauzwa 150,000-200,000 lakini wenigne tunazinunua kwa $30-50 tu.
Kapicha tuone na kujifunza ilivyoEpic is something else
Nikisikiaga harufu ya hii perfume naloa
Mwenye nayo anatembea nayo,Kapicha tuone na kujifunza ilivyo
Hahahaa, kwahiyo anaitumia vizuri. Ok basi akirudi utatuweka kapicha kidogo.Mwenye nayo anatembea nayo,
Maybe akirudi
Yaah kazi yake inamlazimu afanyee hivyo.Hahahaa, kwahiyo anaitumia vizuri. Ok basi akirudi utatuweka kapicha kidogo.
Nashukuru.
Hii nzuri kweliACTIVE MAN
Word. Kama SH Amon anawapiga sana watu. Niliwahi kuona dukani kwake shower gel za 1lt. kutoka Nivea, FA n.k., anauza TZS 40,000!!! Yaani hizi ni USD 6-7.Boys huwa wanatoa comments kama hii uliotoa. Watu wanatumia vitu kulingana na uwezo wao wa kifedha au misimamo yao. Kingine wewe unaweza kujisifia unatumia cologne ya 300,000/- wakati umepigwa tu wenzio tunanunua $50. Kuna cologne kibao hapa mjini(OG) zinauzwa 150,000-200,000 lakini wenigne tunazinunua kwa $30-50 tu.
Ok, kabla kesho hajaondoka nayo, naamini utakuwa umebahatika ku ipiga kapicha kekuYaah kazi yake inamlazimu afanyee hivyo.
Sawa
Kanunue durex nzuri sanaHabarini wadau
Ni spray gani nzuri na yenye harufu nzuri ya kiume kwa matumizi mazuri ya sisi magentleman?