Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Wakuu, salaam.

Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza.

Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa.

N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
 
Chang'ombe but if una issue ya kupiga rangi na kunyoosha mbna now watu wengi dar wanafanya na kwa ubora zaidi kuliko hata mchina mwywe na kwa gharama inayoeleweka
 
Mi ninaowajua wapo njia kama unatokea njia panda majumba sita kuja kinyerezi/segerea hapo katikati kunaitwa kwa mchina

Inasemekana na Mwanza wapo pia. Sijuwi kama ni kweli.
 
Chang'ombe but if una issue ya kupiga rangi na kunyoosha mbna now watu wengi dar wanafanya na kwa ubora zaidi kuliko hata mchina mwywe na kwa gharama inayoeleweka

Mkuu, tatizo la garage za wabongo uaminifu zero. Wanaiba spea og wanakufungia kanyaboya. Pia na ubora wa kazi ni hafifu watu wanasema.
 
Okay mkuu. Natumai gari ilitoka makini sana. Watu wanasema kuwa wachina wananyoosha gari inarejea hali yake kama imetoka Japan leo.

Wachina wanachofanya hawagongigongi kunyoosha bati, wanaweka kipande kingine ndio maana bei zimechangamka na gari inaonekana imerudi hali yake ya awali.

Mtaani itatengenezwa kwa bei ndogo lakini sasa hizo puti na kugongagonga kunyoosha gari ndio tatizo.

Mfuko unaamua upeleke wapi.
 
Mkuu thanks kwa mchango wako. Nasikia wachina na Mwanza wana garage. Nitajaribu kuwatafuta.
 
Mdau mwingine mwenye uzoefu na wachina garage in Mwanza
 
Back
Top Bottom