Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

Chang'ombe but if una issue ya kupiga rangi na kunyoosha mbna now watu wengi dar wanafanya na kwa ubora zaidi kuliko hata mchina mwywe na kwa gharama inayoeleweka
Kweli kabisa kuna mdogo wangu yupo ilala bungoni anapiga rangi balaa.Ukitaka rangi ya mchina anakupigia na ukitaka rangi ya mkenya anakupigia ila ya mkenya bei imesimama ila gari ikitoka utadhani imetoka nayo japani.
 
Wale Sino garage Kawe vipi quality ya kazi zao ie engine na body work.
 
Wadau, naombeni contact number za wachina wa Mwanza (springs city garage).
 
Mkuu, tatizo la garage za wabongo uaminifu zero. Wanaiba spea og wanakufungia kanyaboya. Pia na ubora wa kazi ni hafifu watu wanasema.
Swala la kuiba kwanza n utaratibu wa garage husika ktk makabidhiano kati yako na wao pindi unaacha gari lako kwao kama waaacha kwa maneno tu na kusepa jiandae kulia hata uko kwa mchina maana wafanyakaz wa kawaida n watanzania
 
Nimekusoma vyema sana mkuu
 
Contact number za wachina garage in Mwanza
 
Wapo vizuri, kwa mwanza wapo Buzuruga mataa barabara ya kulia kama umetokea mjini baada ya sheli ya GBP ila jina hawatumii tena Spring city sasa hivi wanajiita Senrun Garage.
Mpigie mkalimani wao 0768 461 551
 
Mkuu, tatizo la garage za wabongo uaminifu zero. Wanaiba spea og wanakufungia kanyaboya. Pia na ubora wa kazi ni hafifu watu wanasema.
Unaopeleka gari yako ikiwa full tank ila siku ya kwenda kuichukua taa ya mafuta inawaka.
 
Kwa nini usipereke maraha auto gereji pale furahisha wapo vizuri halafu ni waswahili bei mnabageini
 
Wapo vizuri, kwa mwanza wapo Buzuruga mataa barabara ya kulia kama umetokea mjini baada ya sheli ya GBP ila jina hawatumii tena Spring city sasa hivi wanajiita Senrun Garage.
Mpigie mkalimani wao 0768 461 551

Shukrani sana mkuu. Tutawasiliana nao. Ushawahi kupata huduma zao za bodi wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom