Kawacheki ila itategemea gari imeunia kiasi ganiDuh! Wana bei sana?
Yaah nishawapelekeaga gari lakini huku darSawa mkuu. Ushawahi kupata huduma yao wewe mwenyewe?
huku dar wako wapi?Yaah nishawapelekeaga gari lakini huku dar
Mi ninaowajua wapo njia kama unatokea njia panda majumba sita kuja kinyerezi/segerea hapo katikati kunaitwa kwa mchinahuku dar wako wapi?
Chang'ombe but if una issue ya kupiga rangi na kunyoosha mbna now watu wengi dar wanafanya na kwa ubora zaidi kuliko hata mchina mwywe na kwa gharama inayoeleweka
Okay mkuu. Natumai gari ilitoka makini sana. Watu wanasema kuwa wachina wananyoosha gari inarejea hali yake kama imetoka Japan leo.
Wachina wanachofanya hawagongigongi kunyoosha bati, wanaweka kipande kingine ndio maana bei zimechangamka na gari inaonekana imerudi hali yake ya awali.
Mtaani itatengenezwa kwa bei ndogo lakini sasa hizo puti na kugongagonga kunyoosha gari ndio tatizo.
Mfuko unaamua upeleke wapi.
Wapo majiji makubwa yoteInasemekana na Mwanza wapo pia. Sijuwi kama ni kweli.
Mwanza wapo maeneo ya pepsi apo wako advanced kwa kweli ila bei.Mdau mwingine mwenye uzoefu na wachina garage in Mwanza