Garage kubwa zote ndo wanachofanya. Hata dealership.
Ndio maana bei zao zimeenda shule.
Kwa nini usipereke maraha auto gereji pale furahisha wapo vizuri halafu ni waswahili bei mnabageini
Wapo vizuri sana, ilikuwa arusha niliminya mlango wa gari yangu kipindi naiingiza ndani, mlango ukaminya nguzo ya geti wakaninyioshea kwa 250k, wapo expensive lakin kazi ni nzuri nzuri sana
Sijawahi piga rangi gari yangu.Rangi ya mjapan gari zinakaa hadi 5 years bado iko vizuri kimuonekano.
Hivi hizi rangi za kurudishia kwenye magereji huwa zinadumu kweli? ama zinapauka mapema?
Maana kuna jamaa yangu mmoja alirudia rangi gari zima kwenye hizi gereji za kiswahili. Baada ya miezi 7 hivi, pale juu ya boneti pakawa rangi inababuka na kuwa muonekano tofauti hivi.
Si ungekausha tu mjing.a weweSijawahi piga rangi gari yangu.
Kwahiyo sijui chochote kuhusu hilo.