Sprinkler Guns za Umwagiliaji

Sprinkler Guns za Umwagiliaji

Pia naomba unielekeze inapokuwa imendikwa mfano inch 2.5 maana yake ni nini je ni diameter? ya connector ama ni nini?
hizi za india zimeandikwa na hizo nchi ni diameter za conector yaani mpira unaotumia ktoka kwenye water pump kadri diameter inavyokua kubwa ndio umbali wa kurusha maji unaongezeka.
 
Wanauza hivyo mkuu kulingana na uhitaji wangu ilinibidi ninunue manake nilikua nabeba bomba ya nchi 3 begani ndio namwailia mara zingine liliniangusha.
Mkuu kuna jinsi ya kuweza kuigawa hiyo bomba ikawa inatoka nchi moja moja. Ila kumwagilizia inabidi muwe wawili, ili kila moja anakuwa na bomba ya inch 1. Ushauri kwa wale wanaotaka kufanya kilimo cha umwagiliani cha namna hii nawashauri wanunue pump ya inch 2
 
Hii bei imenishitua mimipia
Nilipita kariako walikuwa wanaua 40k - 80 pamoja na stendi zake.
Mkuu hizo ni za bustani,Heavy duty kanunue Stesheni kuna maduka kibao ya vifaa vya kilimo laki 1.5 unapata kichwa tu kariakoo ni wapigaji na hawana ushauri mzuri kwa mteja wanajali ili mradi wauze.Spinkler yenye uwezo iina tundu kubwa ambalo unaweza kuingiza vidole vitatu mpaka vinne.
 
Mkuu kuna jinsi ya kuweza kuigawa hiyo bomba ikawa inatoka nchi moja moja. Ila kumwagilizia inabidi muwe wawili, ili kila moja anakuwa na bomba ya inch 1. Ushauri kwa wale wanaotaka kufanya kilimo cha umwagiliani cha namna hii nawashauri wanunue pump ya inch 2
Niligawa kwa kutumia T.conector ambayo ilikua inatoa nchi mbili changamoto kubwa iliyonipata ni kuharibu mazao kwa kunyaga kanyaga na kuchukua muda mrefu kumwagia hiyo wese linaenda jingi
 
Wakuu msiishie kuangalia ukubwa wa bomba ns wetting diameter tu kama vigezo cha kununua hizo sprinklers. Zaidi ya hivyo, zingatieni pia
- Sprinkler diacharge capacity - yaani uwezo wake kunyeshea (mm/h)
- sprinkler pressure rating, yaani mahitaji ya pump thus energy consumption. Jitahidini kuchukua zenye pressure ndogo, otherwise mtahitaji pump kubwa zaidi.
 
Je inawekana kutumia pampu ya 2 inch diameter (pampu za kawaida za petrol)kufunga sprinkler 2 au tatu zitazomwagilia nusu eka kwa wakati mmoja?, na kwa muda mfupi? (kama saa moja hivi).
 
Swala la pampu ishu sio hizo diameter. Unaweza ukanunua fittings ku adjust diameter. Kinachotakiwa kny pump ni kuangalia capacity yake, yaani discharge capacity kiasi gani (m3/h) na kitu kinaitwa Head (m), yaani uwezo wa kuinua maji. Nikupe mfano mdogo.
Let's say una pump maji kutoka kny kisima chenye kina cha 20m na sprinklers zako zina pressure ya 300kPa (=30m). Ina maana unahitaji pump yenye uwezo wa kupandisha maji kwa at least 50m, yaani 20 za kutoa kny kisima na 30 za kuumeet pressure ya sprinklers. To be safe ongezea kama 10m nyingine kwa ajili ya head loss kny pipes na fittings, au kama kutakua na mwinuko knye shamba pia unatakiwa uongeze. Hivyo utahitaji kuselect pump yenye Head ya 60m. Kila pump inakuaga na operationg curve, inayoonyesha Discharge capacity vs Head.
Sasa kama kwa mfano unahitaji kutumia sprinklers 2 kwa wakati mmoja, jumulisha discharge zake, kwa mfano kama kila moja ina 0.5m2/h, maana yake unahitaji pump itakayoweza ku deliver 1m3/h kwa pressure ya 60m.
 
Ahsante! Kuna pampu ya 6.5 horse power ya petrol (specifications zingine zimefutika) nilitaka kujua kama inaweza kuendesha sprinkler at least tatu za kawaida kumwangilia eneo dogo la shamba kwa mithili ya bustani.
Inatumika kwenye furrow irrigation na vi-plot kumwagilia mazao ya mbogamboga. Njia hii inachosha ardhi kwa leaching.
 
Mkuu kama unaweza kujua model ya pump then unaweza ku search huzo specifications nyingine. Lakini kwa hiyo power yake ya 6.5hp, hiyo ni pump kubwa.
Still ni vigumu kutoa jibu kwamba itaweza kuendesha sprinklers 3 bila kujua pressure requirement na diacharge capacity ya hizo sprinklers, pia na chanzo cha maji kiko umbali gani. Ungeeleza kidogo hizo details.
 
Back
Top Bottom