makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
-
- #61
Kifupi kwake ni 50/50 kuendelea nae kwenye mahusiano ni kiasi gani ananishawishi, lazima nipate sababu ya msingi ya kuwa na mtu, ameonesha upendo sawa ila hiyo haitoshi nataka nijue ni muaminifu kiasi gani kwangu kabla ya kuchukua hatua stahiki! Aidha nioe au nipige chini.Kama huna mpango wa kumuacha uyo mwanamke basi achana na huo mpango ila kama una mpango wa kuachana nae yan huna malengo nae basi fanya iko unacho taka kukifanya!!!....
Inatakiwa iwe smartphoneAheri ya lawama, kuliko fedheha!!
We leta link.
Uta register hiyo app kwa kutumia email ya mlengwa, wakati password ya ku login kwenye system itatumwa kupitia hiyo email address ambayo yeye hana access nayo??Choo cha kike kivipi!?
Alipokosea ndio urekebishe sasa.
App haiharibu ndoa bali cheating ndo huharibu ndoaNdoa mnaziharibu wenyewe
Ahsante shunie akee!!Inatakiwa iwe smartphone
Unachukua simu yake unaweka hii app
Unachagua data unazohitaji uzipate unaweka email yako (hapa itakupa process yenyewe)
Mwisho ni lazima uchague sehemu ya ku hide hiyo app ili asijue kama kuna app kama hiyo.
Pakua hapa..
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone
Mobile Tracker Free is a free application for monitoring & tracking SMS, MMS, Calls, Recording Calls, Locations, Pictures, Facebook, WhatsApp, Applications and more!mobile-tracker-free.com
Hahaa!! Shunie akee mie sikufi sababu ya mapenz bhana!! Inakuwa kama hunijui kamanda wangu! Au umesahau slogan yetu..We maka akee ukimaliza kudukua ukikaribia kufwa uniambie nije kukusaidia
Ndoa inaharibiwa na watu, haiharibiwa na hii app, nataka niyajue yasirini mwake, ili nifanye uamuzi aidha nisuke ama ninyoe, ikiwezekana nipige kiduku kabisa.Ndoa mnaziharibu wenyewe
Sijui kwa ambao hawana access na email za wenzao, mie nimeefanya nusu na ikakubali, uzuri email yake naijua na Gmail account yake iko katika simu, so nilipoji"register" kule, walipotuma ile link ya kuconfirm ikaja nikaipa tiki, akaunti ikawa valid, kuna process chache mnoo nikafanya, ila ikazingua katika kuipakuwa ikabidi niipakue kwa simu yangu then nikairusha ile APK katika simu yake, nika install, kule nilikuwa naifungua ikawa inataka kudownload faili lenyewe, nikapigiwa simu ya haraka nikachomoka, sikumalizia, nikafuta ile icon yake sababu APK ipo katika simu baadae nitamalizia.Uta register hiyo app kwa kutumia email ya mlengwa, wakati password ya ku login kwenye system itatumwa kupitia hiyo email address ambayo yeye hana access nayo??
Kama haujamzimikia hivyo mnavyokuwa nae karibu utakuja mpenda tu tena kuliko yeye anavyokupenda maka akeeHahaa!! Shunie akee mie sikufi sababu ya mapenz bhana!! Inakuwa kama hunijui kamanda wangu! Au umesahau slogan yetu..
Mie mapenzi hayawezi kunipeleka puta!
Huyu dada anaitaka ndoa, mie sijamzimikia kivile, kwangu si sababu, sababu naweza kumoenda mtu nisiempenda kama atafanya nimpende, anaonesha upendo sasa sina budi kufanya hivi ili niwe na uhakika na ninachokifanya, naweza nikamkataa kumbe ndio nimekataa mwanamke, na naweza kumkubali kumbe nimemkubali jini.
Je ya sirini mwako ni masafi?Ndoa inaharibiwa na watu, haiharibiwa na hii app, nataka niyajue yasirini mwake, ili nifanye uamuzi aidha nisuke ama ninyoe, ikiwezekana nipige kiduku kabisa.
Uongo dhambi wa kipindi chote tulichokuwa pamoja, nimepoa saana!! Sina mambo mengi!Je ya sirini mwako ni masafi?
Ndio maana nimeamua nichimbue ya ndan zaidi!!Kama haujamzimikia hivyo mnavyokuwa nae karibu utakuja mpenda tu tena kuliko yeye anavyokupenda maka akee
Hongera. Kama una uhakika wa kuwa Safi kwa kipindi chote cha maisha yenu mdukue. Otherwise Kama hujahisi Jambo lolote achana na huo mpango. Mpende tu na yeye atakupenda. Ila jf imewaharibu vijana...mnaingia kwenye ndoa mkiwa hamuaminiani, kitu kibaya sana hicho!Uongo dhambi wa kipindi chote tulichokuwa pamoja, nimepoa saana!! Sina mambo mengi!
Niko safi.
Huyu kwahiyo sio mama wa mtotoNdio maana nimeamua nichimbue ya ndan zaidi!!
Ujue huyu ndio kanikataza hata Heineken zetu tusizinywe!!
Kanizuia vitu kibao, ana wivu hatari, sasa lazima nichimbue, kama anafaa ama hafai.
Jf haihusiani na maamuzi haya.Hongera. Kama una uhakika wa kuwa Safi kwa kipindi chote cha maisha yenu mdukue. Otherwise Kama hujahisi Jambo lolote achana na huo mpango. Mpende tu na yeye atakupenda. Ila jf imewaharibu vijana...mnaingia kwenye ndoa mkiwa hamuaminiani, kitu kibaya sana hicho!
Huyu sio mama Qaylah.Huyu kwahiyo sio mama wa mtoto
Kila la kheri!Jf haihusiani na maamuzi haya.
Ahsante kwa ushaur wako, ila mie sipend tu, napenda kwa sababu, siwez kuwa nae kama sina sababu za kuwa nae, kanionesha upendo ndio maana tukawa pamoja, sasa anaitaka ndoa, ni jambo zito lazima nimchunguze vizur, ndoa si jambo la kubiduka tik-taka
Ukipenda boga penda na ua lake isingekuwepo spya app usingeoaga?Wazee wenzangu, nahitaji application nzuri ya kumchunguza mtu, nisome meseji zake, WhatsApp na simu zake zinazoingia na kutoka..
Lengo la kutaka hii app:
Nina shemeji yenu tumekuwa kwenye mahusiank kwa takribani miezi 8, sasa anaitaka ndoa kwa hali na mali, mie nimekuwa nina"dribble" 50/50, sikuwa serious kivile japo toka nimekuwa nae nimeacha mipango mingine lakin haikuwa kihivyo, miezi km kadhaa hivi tumekuwa tukiishi pamoja kabisa, kimtizamo kwa juu juu katika maisha yetu naona kama kapoa, hana mambo mengi, ila siri ya mtu kichaka, kwakuwa mie nilikuwa sio real kivile nataka nizame kwanza nijue hasa ya ndani nikiona yuko OK nichukue jiko, kupenda kwangu si kazi kama nikiona mtu yuko safi.
Msaada wenu wazee wenzangu.