Wazee wenzangu, nahitaji application nzuri ya kumchunguza mtu, nisome meseji zake, WhatsApp na simu zake zinazoingia na kutoka..
Lengo la kutaka hii app:
Nina shemeji yenu tumekuwa kwenye mahusiank kwa takribani miezi 8, sasa anaitaka ndoa kwa hali na mali, mie nimekuwa nina"dribble" 50/50, sikuwa serious kivile japo toka nimekuwa nae nimeacha mipango mingine lakin haikuwa kihivyo, miezi km kadhaa hivi tumekuwa tukiishi pamoja kabisa, kimtizamo kwa juu juu katika maisha yetu naona kama kapoa, hana mambo mengi, ila siri ya mtu kichaka, kwakuwa mie nilikuwa sio real kivile nataka nizame kwanza nijue hasa ya ndani nikiona yuko OK nichukue jiko, kupenda kwangu si kazi kama nikiona mtu yuko safi.
Msaada wenu wazee wenzangu.