Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Hizo ni ndoto mkuuMtoto wa kiume hautakiwi kuogopa mapenzi. Hayo yakuogopa mapenzi waachie wanawake ila kwa mtoto wa kiume haifai. Ukitaka kuishi kwa raha, mapenzi yaweke kwenye akili maana utafurahia sana. Kama simu ya mpenzi wako unaogopa kushika, ukikuta mke wako anagongwa si utajiua kabisa. Wanawake wapo wengi sana wala haina haja ya kuwaza wanawake. Kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana ila kugongwa nje siyo jambo la kawaida. Nyie ndiyo huwa mnalea watoto wa wanaume wenzako kisa hautaki kujua yaliyonyuma ya mke wako.
Kama una hakika wewe binafsi unaweza bila ku cheat basi wapo wanaoweza
Ila kama huwezi basi ujue hawezi pia
Kugongewa utagongewa tu hata ufanye nini
Ukiona anazingua mteme na sio kumfuatilia sana sana utakua mtumwa wa mapenzi
Kikubwa huwa ni heshima