Spy App

Mrejesho Sasa, Mambo Yasiwe Mengi
Jua Ndiyo Hili Usipouanika,Utautwanga Mbichi
Technology Inakwenda Kasi Application Zote Tunatakiwa Kuzitumia
 
Wazee wenzangu, ndio nimechomoka hospital, kesho nikitulia nitawapa habari kamili, naomba mniwie radhi ndugu zanguni.

Kikubwa nashukuru mtoto wa watu mzima, japo bado bado kidogo, namsikilizia hali yake, hospital kule aligoma kabisa kwenda kwao na kaniomba nisiwaambie ndugu zake, so nimvumilie mpaka akipata pesa yake ya kodi toka kwenye nyumba yake huko atahama.

Usiku mwema wazee wenzangu.
 
Wangu apata nafuu leo wiki hii naauguza tu kwa kumtolea makavu.
 
Pole mkuu..
 
mimi niliona vijitabia kwa manzii wangu nikaamua kumuuliza kulikoni akawa mkali kuwa namsingizia nikaona isiwe inshu, nikaanza process za kumdukua FB, baada ya siku chache nikamwambia makosa yake yote 😁😁 alianza kuomba msamaha nikaone kosa lenyewe ni simple sio la uchepukaji nikamsamehe, sasa hivi ana tia adabu ni balaa.

kila baada ya wiki lazima nichungulie kwenye viji-akaunti vyake vya social net naona mambo yako poa, sasa hapa nina mpango wa kutumia hii app ya MTF coz mwanzo nilitumia mbinu zangu vya kudukua nilizojifunza nikiwa nasoma IT.
 
Hili ni bonge la app, mimi huwa nawachekaga tu rafiki zangu wanavyo jaribu kumtongoza mke wangu.

Pili imenisaidia kurudisha ktk familia viwanja vitatu alivyonunua mke wangu pasi na mimi kujua.
Ubaya wake inahitaji mdukuliwaji awe na data mda wote ili upate taarifa na kama asipo taka kuweka data umemkosa.
 
Updates Kuhusu Yalimo Yamo
Donor Country Lete Maneno
 
Aiseeee kama mimi nilikuta anataka kutoa siri zetu za chumbani nikakuta ananipondea mimi na familis yangu kwa ndugu zake kwamba mshamba sijui lolote n.k

Nikamchana nikamwambia huo uouuzi wako endelea nao tu,ametia adabu sasa.
 
Aiseeee kama mimi nilikuta anataka kutoa siri zetu za chumbani nikakuta ananipondea mimi na familis yangu kwa ndugu zake kwamba mshamba sijui lolote n.k

Nikamchana nikamwambia huo uouuzi wako endelea nao tu,ametia adabu sasa.
sometimes inatakiwa tuchunguzane ili tujuane vizuri unaweza kuishi na mtu ukajua ni mwenza wako kumbe ni watu wasiojulikana.
 
mkuu pole sana.....najua una mazito ila huo ndio uanaume sasa..ila mwenzio sasa kifua kidogo umeona mpaka hospital mmefika mkuu
 
iv kuna namna yoyote ya kufanya kwa simu yake ili asigundue kuwa unamdukua??..

maana anaweza ku un-install hiyo app ili usiweze kumpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…