Naona wavulana,lakini wanajiita wanaume shupavu.hacking haikupi uhakika wa mtu moja kwa moja, maisha ni safari ndefu,kuna kupanda na kushuka,life sio fair sometimes... Sawa leo waweza mdukua ukaona yuko fine,ukaoa...after years mna watoto kabisa na mumewekeza katika maisha,akabadilika...utafanyaje? Ndoa haipo kama unavyodhani
Makaveli 10na mwanaume shupavu ni yule anayeweza kukabiliana na hali yoyote katika maisha, umeonyesha udhaifu sana katika hii defensive mechanism. Tena kwa muda mfupi mnoo umeyatoa hadharani,halafu unasema una moyo wa chuma!! Ungedukua walau six months,sasa kwa vitisho hivyo si lazima akuletee bongo muvi? Rangi halisi uyaiona baada ya miaka, katika hili la mapenzi ,omba mungu akupe mtu mnaefanana hata 80% tu,kisha muombe na ulinzi wa Mungu katika muongozo.ni utoto sana unafanya,sasa kungekuwa hakuna kudukuana ungefanyaje?