Moja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani.
Hii hoja naona ina mshiko na imethibitika toka awali tulipofungwa round ya kwanza zilionekana ni Hujuma lakini viongozi walipotezea na hatimae hizi hatua za kuachana na wachezaji wasaliti ni za muhimu Kwa maendeleo ya timu.
Ushauri Kwa viongozi wawe makini na mamluki, wakimstukia msaliti wasimcheleweshe!