changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
TAKUKURU wenyewe huwa wanapata wakati mgumu kusimamia kesi za rushwa maana ushahidi usio na shaka huwa ni vigumu kuupata. Ndio maana kesi nyingi za rushwa hasa michezoni, huwa zinaishia katikati. Refer madai ya rushwa ya golikipa wa Mtibwa dhidi ya Ulimboka, na madai ya Kabwili dhidi ya kiongozi wa Simba. Yote yaliishia hewani
Kesi kuwa ngumu hutokana na kukosa uthibitisho, kama kuna ushahidi na uthibitisho wa kutosha kesi huwa ni nyepesi sana. Ila ukiona kesi inakuwa ngumu ujue ni tuhuma isiyo na vielelezo. Ni sawa na mropokaji tu, sasa kama hauna uthibitisho utasemaje fulani kauza mechi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app