Naona ndio maana sasa wanafagia fagia, wakaze buti na viongozi wawe makini Sana Kwa wachezajiHivi baada ya Simba kufungwa goli tano na Yanga, wale wachezaji ambao viongozi wa Simba waliwatihumu na kisha wakasimamishwa, kwanini wale wachezaji wakapangwa kwenye mechi iliyofuata na mazoezini wakaonekana?
Na kesi TAKUKURU ilifikia wapi? Au haikufunguliwa kesi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Huo ndiyo Usaliti aliouzungumzia mleta mada . Ndani ya simba lazima usafi uendelee kufanyika hadi kwa viongozi .Hivi baada ya Simba kufungwa goli tano na Yanga, wale wachezaji ambao viongozi wa Simba waliwatihumu na kisha wakasimamishwa, kwanini wale wachezaji wakapangwa kwenye mechi iliyofuata na mazoezini wakaonekana?
Na kesi TAKUKURU ilifikia wapi? Au haikufunguliwa kesi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hakuna haja ya kuoneana aibu wala huruma tena . Maduka yote ya Yanga ndani ya simba lazima yafuruhushwe iwe hiari au kwa lazimaNaona ndio maana sasa wanafagia fagia, wakaze buti na viongozi wawe makini Sana Kwa wachezaji
Huwezi ukawaacha wachezaji katkati ya msimu maana hakuna namna ya kuwasajili wengine. Wakati mwingine inabidi kuwavumilia hadi msimu uishe ili walau umalize ukiwa sehemu nzuriHivi baada ya Simba kufungwa goli tano na Yanga, wale wachezaji ambao viongozi wa Simba waliwatihumu na kisha wakasimamishwa, kwanini wale wachezaji wakapangwa kwenye mechi iliyofuata na mazoezini wakaonekana?
Na kesi TAKUKURU ilifikia wapi? Au haikufunguliwa kesi?
Bado hamjasemaChama angekuwa mtumishi wa serikalin sshv kashastaafu 🐸🐸
Anayefagia ni nani? Je mna uhakika gani kama huyo mfagizi ni msafi? Kwani hao mnaowatuhumu kuwa ni maduka je yalikuja na duka kutoka huko walikotoka au maduka yametengenezwa? Kama yametengenezwa basi hata hao mnaowaona wasafi wamekuja, yatakuwa ni maduka na magenge vile vile.Naona ndio maana sasa wanafagia fagia, wakaze buti na viongozi wawe makini Sana Kwa wachezaji
Sawa ila ishu ya rushwa ni kesi tena ni kubwa sana katika mpira wa miguu na huwa inahusisha na upangaji wa matokeo. Kufungua kesi TAKUKURU kulikuwa na faida kubwa kuliko kuacha wachezaji. Faida yake ni nini?Huwezi ukawaacha wachezaji katkati ya msimu maana hakuna namna ya kuwasajili wengine. Wakati mwingine inabidi kuwavumilia hadi msimu uishe ili walau umalize ukiwa sehemu nzuri
Ndo hao wanapewa thank youHivi baada ya Simba kufungwa goli tano na Yanga, wale wachezaji ambao viongozi wa Simba waliwatihumu na kisha wakasimamishwa, kwanini wale wachezaji wakapangwa kwenye mechi iliyofuata na mazoezini wakaonekana?
Na kesi TAKUKURU ilifikia wapi? Au haikufunguliwa kesi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Narudia tatizo la simba ni umbumbumbu wa wanachama wanao msuburi muwekezaji awape furahaMoja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani.
Hii hoja naona ina mshiko na imethibitika toka awali tulipofungwa round ya kwanza zilionekana ni Hujuma lakini viongozi walipotezea na hatimae hizi hatua za kuachana na wachezaji wasaliti ni za muhimu Kwa maendeleo ya timu.
Ushauri Kwa viongozi wawe makini na mamluki, wakimstukia msaliti wasimcheleweshe!
Hahahahaha hao unaowajibu umajua viongozi wao huwa wanawaitaje ?Sawa ila ishu ya rushwa ni kesi tena ni kubwa sana katika mpira wa miguu na huwa inahusisha na upangaji wa matokeo. Kufungua kesi TAKUKURU kulikuwa na faida kubwa kuliko kuacha wachezaji. Faida yake ni nini?
1) itakuwa ni funzo kwa wote wanaotesgemea kuhonga na kuhongwa, wataogopa kuchukua na kutoa rushwa.
2) Yanga wasingebeba ubingwa kwasababu ya kashfa ya upangaji wa matokeo hivyo pengine Azam na Simba ndio zingecheza klabu bingwa badala ya Yanga.
Kama hayo yameshindikana kufanyika basi inawezekana ni maneno tu ya kihisia hakuna ushahidi wowote wa kuwafanya wahusika watiwe hatiani
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Sio timu zote zinakuwa na muda huo wa kufuatilia kesi. TAKUKURU wenyewe huwa wanapata wakati mgumu kusimamia kesi za rushwa maana ushahidi usio na shaka huwa ni vigumu kuupata. Ndio maana kesi nyingi za rushwa hasa michezoni, huwa zinaishia katikati. Refer madai ya rushwa ya golikipa wa Mtibwa dhidi ya Ulimboka, na madai ya Kabwili dhidi ya kiongozi wa Simba. Yote yaliishia hewaniSawa ila ishu ya rushwa ni kesi tena ni kubwa sana katika mpira wa miguu na huwa inahusisha na upangaji wa matokeo. Kufungua kesi TAKUKURU kulikuwa na faida kubwa kuliko kuacha wachezaji. Faida yake ni nini?
1) itakuwa ni funzo kwa wote wanaotesgemea kuhonga na kuhongwa, wataogopa kuchukua na kutoa rushwa.
2) Yanga wasingebeba ubingwa kwasababu ya kashfa ya upangaji wa matokeo hivyo pengine Azam na Simba ndio zingecheza klabu bingwa badala ya Yanga.
Kama hayo yameshindikana kufanyika basi inawezekana ni maneno tu ya kihisia hakuna ushahidi wowote wa kuwafanya wahusika watiwe hatiani
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Umesahau kwamba hata utopolo walimtupia virago Tshishimbi kwa tuhuma za Usaliti baada ya kichapo cha 4,1? Au kwakuwa iko upande wa pili ndo unaona haina Maana?Mawazo ya mbumbumbu ni mtaji wa mwananchi!!
Hii dhana ya usaliti kama sababu ya kushindwa makolo inapaswa kupaliliwa, kumwagiwa maji na kuchochewa.
Hawa mikia hawapaswi kuamshwa wanapaswa kusaidiwa kulala hivi hivi siku zote!!! Sioni Simba ikichukua kombe lolote kwa akili hii ya la saba B!!