SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

iyoo ya kwanza ni gen 3. iyo ya pili ni gen 1. zote zitafunga bila shida. ya pili ipo slow. ya kwanza pia itafunga lakini itakua na slow speed kutokana na slot ya mother board yako ni gen 1 so itakua slow ingawa SSD ina uwezo mkubwa
Umejuaje mkuu wakati kwa settings inasoma generation ya 6 au nimekuelewa vibaya
 
iyoo ya kwanza ni gen 3. iyo ya pili ni gen 1. zote zitafunga bila shida. ya pili ipo slow. ya kwanza pia itafunga lakini itakua na slow speed kutokana na slot ya mother board yako ni gen 1 so itakua slow ingawa SSD ina uwezo mkubwa
Hizo ssd zina meno tofauti ziangalie vizuri, ya juu Ni Nvme ya Chini ni NGFF
 
Bila kujua Specs za hio port ngumu kukushauri mkuu.

Pia ssd zimeshuka bei sana Duniani kote, Angalia na soko la ndani pia.
Sawa nipo road nikifika home nitatuma maana nimetafuta machinga complex na kkoo ssd ya 512 ni 120,000 hadi 150,000 wakati AliExpress ni 40,000 hadi 55,000 tena ni free shipping
 
Kuwa makini na aliexpress nunua store kubwa tu. Unaweza uziwa memory card kwenye umbo la ssd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…