mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
naskia jamaa aliishafariki.Kumbe unamuelewa 0 0 haya bana. [emoji23][emoji23]
kule chini kulivyokuwa kunatisha unakuta mjuba usiku kavunga na kiredio chake kinapiga gospel[emoji16][emoji16].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naskia jamaa aliishafariki.Kumbe unamuelewa 0 0 haya bana. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Kuna mwamba nae alikuwa anaitwa Roja unampata?naskia jamaa aliishafariki.
kule chini kulivyokuwa kunatisha unakuta mjuba usiku kavunga na kiredio chake kinapiga gospel[emoji16][emoji16].
roja yule aliyeomba kazi baada ya kutoka depo[emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23] Kuna mwamba nae alikuwa anaitwa Roja unampata?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyoo huyooo mzee wa chenjaaaa.roja yule aliyeomba kazi baada ya kutoka depo[emoji23][emoji23].
bangi kitu kibaya sana.
Asante sana mkuu@Mkomavu kwakweli umekomaa.
😆😆😆😆😆roja yule aliyeomba kazi baada ya kutoka depo[emoji23][emoji23].
bangi kitu kibaya sana.
Walipiga marufuku kwa sababu walidhani labda sumu hiyo inaleta maumivu.Hivi wale waliohukumiwa kunyongwa na kudungwa sindano huku wame fungwa kwenye death bed ilikuwaje mpaka wakapiga marufuku
"Lethal injection - Wikipedia
By early 2014, a number of botched executions involving lethal injection, and a rising shortage of suitable drugs, had some U.S. states ..."
Nimegundua ukipenda sana unakuwa taahira.Moja ya kitu nilichojifunza ukimpenda mke sana na hata mke akikupenda kupitiliza ni aina flani ya ugonjwa wa akili.Kitu kingine kuna stage flani za maisha ukizivuka ukubwani zikiibuka zinasumbua sana.Kipo alichokikosa kwa mkewe huku akiamini hawezi kuishi bila yeye, na mbaya zaidi akakosa hata faraja ya walimwengu
Walipiga marufuku kwa sababu walidhani labda sumu hiyo inaleta maumivu.
Iliyokuwa ilitumika awali ilianza kukosekana sokoni baada ya wazalishaji kusitisha biashara kwa sababu ya siasa tata za hukumu ya kifo.
Kwa hiyo bado wanatafuta sumu ya binadamu inayoua bila purukushani.
Sisi mpaka leo hatujui ni kitu gani binadamu akila anakufa japo tumetokea misituni, mashambani kwenye mizizi na masokwe na wadudu wa kila aina ambako tungeweza kuchunguza.
Vifo vyetu tunavyovijua sisi ni kuliwa na mamba, kukatwa mapanga, kupondwa na gari, kuuliwa na minyoo, mbu, vifaduro, tetekuanga, kaswende na utapiamlo.
Nje ya hapo tukikuta maiti yenye utata tunasema kajinyonga. Jeshi la Polisi linasema tatizo wivu wa mapenzi. Hata kwa mkeo, wivu wa mapenzi!. Kwa hiyo umwachie mkeo achepuliwe na kila mwanakijiji mwenzio kwa sababu hutakiwa kuwa na wivu wa mapenzi!