TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Hii ndio inaitwa sonona.
 
Hivi mna uhakika jeshi ketu kinatoa mafunzo sahihi?
 
Nakumbuka tukiwa chuo tulikuwa tunabishana sana kati ya mtoto,mke/mume na mama yupi akifa unapata maumivu sana,,kuna lecturer ni mtu mzima sana alisema mke akifa anauma mno tena haswa mkipendana, akajitolea yeye mfano tangu mke wake afariki ni miaka 10 sasa nyumba aliiona kubwa sana ikabidi auze nyumba,akaenda kujenga sehemu nyingine anasema alipitia kipindi kigumu mno maishani mwake.
Kwa yaliyomtokea huyo askari nimemkumbuka lecturer
 
Mapenzi ya kweli hubeba uhai wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…