SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

Kubwa jinga! Watu tunashindwa kujisaidia na kuoga maji hakuna. Mnawaza kuingia tena keundeleza u.jinga?
Kaa nayo usubiri mgao uishe utayatoa
 
Yeyote anayetoka Chadema akienda CCM ni lulu!
 
Hata Magu mlidhania hivi hivi alipokuja Tundu Lissu mlikua mnaomba poo pale kabureta ilipokua inachemsha mnamtaftia visa ili nae asimame mikutano
 
Tunawakaribisha CCM Ila wajue wao ni team Magufuli na si team mama. Na wasitegemee kubebwa kama walivyobebwa wapinzani walionunuliwa kwa Kodi zetu na baadaye kupewa vyeo tukaachwa Sisi wafia Chama. Pole zenu Covid-19. Bora mkaombe nafasi pembeni ya kaburi la boss wenu mzikwe naye pale.
 
NI UJINGA CCM Kula MATAPISHI ya CHADEMA wakati CCM ina idadi kubwa ya Wanachama Wanawake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio muyajadili huko CCM na Mdee wenu. Chadema tunasonga kidigital
 
chinembe Chief Hangaya sio lile jiwe, yeye hafanyi hizi biashara za akina polepole
 
Kwani huko CCM hakuna wapambanaji?

Hii hoja haina tija kiuhalisia.Itakuwa turufu kwao kujiunga na chama chochote cha upinzani kuliko kuwasaidia Chadema kuhalaisha wanachokiita usaliti.
 
Kwenye Siasa hakuna rafiki wa kudumu, ila Kuna maslahi tu ndio yanaangaliwa
 
Uko nao CCM sijui unasemaje?
 
Kwenye siasa ukishakosa moral authority na support na kuonekana Yuda, your completely finished!! Atakayejifanya kuongozana na wewe atazamishwa na wewe!! Wewe imagine Halima alivyokuwa na ushawishi ila baada ya usaliti hakuweza kufanya hata mkutano mmoja WA hata kujipendekeza Kwa wananchi!! Hata kama angefanya asingeweza kupata Mtu!! Juzi Naona alikodi coaster na akina mama 30 WA kulipwa Kitu ambacho hata akina mama wanaowachamba wenzao wanafanya bila shida!! Ndugu jamii ndio inayokuzamisha au kuinua na hutakiwi kuiangusha
 
Ataibuka kisiasa, ngoja aanze kumwaga mboga na ugali kwa pamoja ....mambo ya Chadema yote yataanikwa hadharani
 
Ataibuka kisiasa, ngoja aanze kumwaga mboga na ugali kwa pamoja ....mambo ya Chadema yote yataanikwa hadharani
Naona kama unajifariji, hasira za wana-cdm ni Halima kuside na uchaguzi uliochafuliwa kupita Maelezo
 
Kwa taarifa yako Mama Samia hataki Uchafu aka Shombo aka leftovers.
 
Ester Bulaya ndiyo kirusi chenyewe, ilikuwa KOSA KUBWA kumpa uanachama, alikuja kwa lengo maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…