SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao kisiasa,bado wako juu, vuta picha hawa wadada wanamwaga sera kabla mama hajasimama kupiga finishing! Ni suala la muda tu!

Chadema wameshindwa kuwafukuza, wanajua madhara ya hizi "mashine" zikiwashwa na upande wa pili. Horse power bilioni tano!
Samia sema ...sema usiogope semaaa, samia semaaa sema usiogope semaaa sisi vijana tuko tayari kutekeleza semaa

We are marching to 2025 in colours

Code SSH-2025
We are Tanzanians
We are for Samia
UWT setting the agenda
Mama wa maendeleo
Yes-SSH2025, tunasimama na mama

UnAwajua au unawasikia wamama wa CCM wa UWT wewe? Hawawezi kusurvive huko. Hayo mambo hufanyiwa UVCCM na wakubwa kule kwenye wanachama wa jumla
 
Tunawakaribisha CCM Ila wajue wao ni team Magufuli na si team mama. Na wasitegemee kubebwa kama walivyobebwa wapinzani walionunuliwa kwa Kodi zetu na baadaye kupewa vyeo tukaachwa Sisi wafia Chama. Pole zenu Covid-19. Bora mkaombe nafasi pembeni ya kaburi la boss wenu mzikwe naye pale.
Huu ni mtego mkubwa KWa ccm , mkiwanyima fulsa watabwatuka makubwa mpaka mtashangaa, bora ccm mkawatafutie fulsa ya kuficha aibu ambayo inaweza ikawatikea sio mda,hata hivyo kamati ya siasa ya ccm na Ikulu inajua kwamba ni kimeo KWa ccm na serikali yake
 
Back
Top Bottom