MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hiyo naijua vizuri ,hawanipati ng'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lockup sio sehemu ya kuwahifadhi waleviI can confirm this.
Waliwahi nipeleka home sema kazi inakua rahisi kama wako na mkubwa (boss) wao ila wakiwa wenyewe wanakusumbua.
Utakua walimfiraWalikufanya nini mkuu?, kila uzi unaohusu polisi unacomment hivi
Jichanganye utekwe.Wakuu
Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂
==
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo.
"Kama ukalewa uko chakali, na ukapepesuka, ukashindwa kufika nyumbani ukiwa unatembea kwa miguu sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, tutakuchukua, kama unaweza kujieleza utatuambia unakaa mtaa fulani tutakufikisha kwasababu wewe sio mhalifu"
View attachment 3180111
Wakuu

Saa hizo watu wanapolewa traffic wanakuwa hawapo.Wakuu

Aisee, umenikumbusha mbali.Yani nikilewa naweza muamini kibaka mkabaji kunisindikiza nyumbani na sio polisi.
Kibaka ataishia kuniibia nilichonacho lakini ataniacha na uhai wangu.
Ila majambazi polisi, wataniibia, watanipiga na kuniua kabisa huku wakinipa na kesi ujambazi.
Bora kufa kuliko kuamini POLISI wa Tanzania, ukijipeleka kwao ni bonge la fursa umewapelekea.
Miaka ya elfu mbili mwanzoni Mkoa wa Iringa kulikuwa na huduma hii....RPC wa wakati huo jina limenitoka........Wakuu
Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂
==
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo.
"Kama ukalewa uko chakali, na ukapepesuka, ukashindwa kufika nyumbani ukiwa unatembea kwa miguu sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, tutakuchukua, kama unaweza kujieleza utatuambia unakaa mtaa fulani tutakufikisha kwasababu wewe sio mhalifu"
View attachment 3180111
Nao ulikuwa ni msaadaHao ni waongo aise sitosahau mwaka 2009 nilijichanganya da tulizurura nao mpaka alfajiri. Ndio wakaniachia
Umeingia agano la milele na shetani😀😀Aisee, umenikumbusha mbali.
Zamani kidogo nilipitia mazingira hayo, nikamuamuru kibaka na kumuamini...kweli alinisindikiza na kunifikisha home salama (kwa miguu). Sasa siku hizi taabu imekuwa kila nikikutana naye maeneo yetu anadai kinywaji...ukimwambia sina kitu haelewi...!!!!
Mbona tena waliwaacha sehemu hatarishi maana pale Nera to Clinic mida flani ya usiku panakuwa pa hatari na hata kutembea huwa unaambaa ambaa katikati kwenye kingo zinazogawa double roadDu nijiiseemeee mimi mmwenyewe sintojaribuu waliwah kunikutaa nimeleewa pale kitangiri mwanza wakatubeba msobemsoobe wakatusachi. Tulizobakiza ksha wakatushusha nera hatuna kitu ilatukashukuru hawakutulaza. Nndan