SSP Solomon: Ukilewa na kushindwa kufika nyumbani, Polisi tutakulinda na kukufikisha salama

Wakuu

Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂

==

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo.

"Kama ukalewa uko chakali, na ukapepesuka, ukashindwa kufika nyumbani ukiwa unatembea kwa miguu sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, tutakuchukua, kama unaweza kujieleza utatuambia unakaa mtaa fulani tutakufikisha kwasababu wewe sio mhalifu"
View attachment 3180111
Jichanganye utekwe.
 
Tahadhali usiwe na pesa mfukoni
 
Saa hizo watu wanapolewa traffic wanakuwa hawapo.
 
Yani nikilewa naweza muamini kibaka mkabaji kunisindikiza nyumbani na sio polisi.

Kibaka ataishia kuniibia nilichonacho lakini ataniacha na uhai wangu.

Ila majambazi polisi, wataniibia, watanipiga na kuniua kabisa huku wakinipa na kesi ujambazi.

Bora kufa kuliko kuamini POLISI wa Tanzania, ukijipeleka kwao ni bonge la fursa umewapelekea.
Aisee, umenikumbusha mbali.
Zamani kidogo nilipitia mazingira hayo, nikamuamuru kibaka na kumuamini...kweli alinisindikiza na kunifikisha home salama (kwa miguu). Sasa siku hizi taabu imekuwa kila nikikutana naye maeneo yetu anadai kinywaji...ukimwambia sina kitu haelewi...!!!!
 
Hao ni waongo aise sitosahau mwaka 2009 nilijichanganya da tulizurura nao mpaka alfajiri. Ndio wakaniachia
 
Ni kama vile wanapokwambia NJOO UISAIDIE POLISI,unafikiri watakupa magwanda?
 
Wakuu

Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂

==

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo.

"Kama ukalewa uko chakali, na ukapepesuka, ukashindwa kufika nyumbani ukiwa unatembea kwa miguu sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, tutakuchukua, kama unaweza kujieleza utatuambia unakaa mtaa fulani tutakufikisha kwasababu wewe sio mhalifu"
View attachment 3180111
Miaka ya elfu mbili mwanzoni Mkoa wa Iringa kulikuwa na huduma hii....RPC wa wakati huo jina limenitoka........
 
NIlilewa maeneo ya Usa River wakaenda kukaa na mimi kituoni mpaka ulfajiri...kisha wakaniombea lift huyoo Kiborlony......kufika pale nikaingia Onyonya ukunonze nikaendelea kula mayi.....nilipokaribia kuishiwa nikaingia kwa mama nanii daah jina limenitoka huku wanapoanika ulezi wa mbege nikapiga mbege mixer gongo....baadae akatokea Malisa kinundu ....huyu tulikuwa nae jeshini...akaniuliza unafanya nini hapo bwashee tukahama kijiwe tukaend akuungana na mzee kinyala tukaendelea kula vyombo mpaka usubuhi.....
Ashukuriwe Mungu nisha acha mambo hayo
 
Aisee, umenikumbusha mbali.
Zamani kidogo nilipitia mazingira hayo, nikamuamuru kibaka na kumuamini...kweli alinisindikiza na kunifikisha home salama (kwa miguu). Sasa siku hizi taabu imekuwa kila nikikutana naye maeneo yetu anadai kinywaji...ukimwambia sina kitu haelewi...!!!!
Umeingia agano la milele na shetani😀😀
 
Kwanza kulewa ni kosa, hivyo wakikukamata wanakuweka sehemu salama hadi pombe zikutoke.
 
Sawa nimelewa saizi.
Kazi ni kipimo cha UTU!!
 
Du nijiiseemeee mimi mmwenyewe sintojaribuu waliwah kunikutaa nimeleewa pale kitangiri mwanza wakatubeba msobemsoobe wakatusachi. Tulizobakiza ksha wakatushusha nera hatuna kitu ilatukashukuru hawakutulaza. Nndan
Mbona tena waliwaacha sehemu hatarishi maana pale Nera to Clinic mida flani ya usiku panakuwa pa hatari na hata kutembea huwa unaambaa ambaa katikati kwenye kingo zinazogawa double road
 
Back
Top Bottom