St. Augustine University of Tanzania

St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.
"We are welcoming all applicants with exception of students from The University of Dodoma (Due to the internal criterias we need)"

And jamaa unasema UDOM are doin better, nigger u serious? Reason inayofanya Saut wasiwe na discontinuation kwa wasiofikisha alama ni kuhakikisha wanakusaidia taratibu hadi ufikie kiwango cha wewe kuwa na elimu, sio kukufukuza, ili uende wapi?

Next time jitahidi kuwa na uchambuzi yakinifu kabla ya kuandika.

No offense, but you're an IDIOT.
Thanks
labda UDOM ya 2007 c o ya sasa! huo ujumbe waliweka kipindi kile chuo kikiwa na changamoto nyingi hasa baada ya wanafunzi wanaosomea biashara ka ckosei kugoma kwenda field nadhan!ila kwa sasa kwe interview mbona wapo wengi tu wanashindana na wa vyuo vyengine
 
Its Unfair kusema hivo... Mtoa Maada hakika nahisi kashinikizwa kukichafua chuo... Mi nmesoma pale but niko sawa kweli...
 
Ila SAUT kina wadada wazuri kuliko UDSM na UDOM. kwa hili la GPA in the beauty category hakina mpinzani, labda kidogo IFM
 
Kuwen wakwel bwana,hik chuo wanaenda wenye dv 3,hakuna one pale ndo maana tunashangaa koz 14,A kibao,halaf A inaanzia 80
 
Hawa jamaa wanasoma koz nying sana,wanafaul koz nying sana,HAKUNA KUDISCO!! ,ni f.6 failures,anayebisha ajenge hoja hapa
 
Wat wa SAUT hamien Serikalin mkasome kama mnavyosoma pale kama hamjaishia njian wote! Hiv vyuo viko after money
 
SAUT ni janga la taifa kitaaluma. Mwanafunzi ndiye mfalme. Chuo kinachotegemea fees kujiendesha unategemea nini? Lundika vilaza, waleelee wasiondoke, kusanya ada, wapatie GPA za juu ili vilaza wengi wamiminike kuja kuzoa vyeti vizuri na Chuo kizidi kuwepo.

Hata lecturers wao ni wa kuungaunga. Wamejaa wanateolojia na wafalsafa lakini eti ndiyo wahadhili wa education, mass communication, law, etc. Janga hili lazima sasa lichunguzwe kabla halijaliangamiza taifa.
 
SAUT ni janga la taifa kitaaluma. Mwanafunzi ndiye mfalme. Chuo kinachotegemea fees kujiendesha unategemea nini?

Lundika vilaza, waleelee wasiondoke, kusanya ada, wapatie GPA za juu ili vilaza wengi wamiminike kuja kuzoa vyeti vizuri na Chuo kizidi kuwepo. Hata lecturers wao ni wa kuungaunga.

Wamejaa wanateolojia na wafalsafa lakini eti ndiyo wahadhili wa education, mass communication, law, etc. Janga hili lazima sasa lichunguzwe kabla halijaliangamiza taifa.

100% correct
 
Ngoma isiyoicheza step zake katu hutozitambua SAUT mziki mwingine..
 
share,

Reasoning yako ya ajabu sana! Kwani ukisoma teolojia na filosofia huwezi kuwa lecturer? Pale UDSM kuna mwalimu amesoma teolojia na filosofia na anafundisha development studies.

Je, unasemaje? Kuna mwingine ni head wa department na amepata PhD yake Birmingham University. Kwa hiyo, hawa wasifundishe kwa vile katika baadhi ya masomo yao walisoma philosophy na theology?

Kuna mwalimu mwingine pia Peter Mataba - amesoma philosophy na mass com, sasa asifundishe kwa vile kati ya masomo aliyosoma ni philosophy au theology? Maana reasoning yako ndivyo inavyosema.
 
Last edited by a moderator:
Reasoning yako ya ajabu sana! Kwani ukisoma teolojia na filosofia huwezi kuwa lecturer? Pale UDSM kuna mwalimu amesoma teolojia na filosofia na anafundisha development studies. Je, unasemaje? Kuna mwingine ni head wa department na amepata PhD yake Birmingham University. Kwa hiyo, hawa wasifundishe kwa vile katika baadhi ya masomo yao walisoma philosophy na theology? Kuna mwalimu mwingine pia Peter Mataba - amesoma philosophy na mass com, sasa asifundishe kwa vile kati ya masomo aliyosoma ni philosophy au theology? Maana reasoning yako ndivyo inavyosema.

Waalimu wa SAUT wengi ni magumashi tu...wenye sifa zinazotakiwa ni wachache sana na hili ni kwasababu chuo kinalipa mishahara na posho kidogo sana compared to other Public Universities.

Chuo Kikuu gani kina Professor mmoja tu tena si full ni Associate....jawabu ni SAUT,Chuo Kikuu kipi Assistant Lecturers wanafundisha Postgraduate programs (Masters & PHD) jawabu ni SAUT,

Chuo Kikuu kipi wanafunzi wanamaliza chuo na GPA ya 5.0 lakini ukiwauliza walichojifunza hawajui jawabu ni SAUT, Chuo.Kikuu kipi kinachukua vichwa maji jawabu ni SAUT
 
naunga mkono hoja,hii chuo kipo kuua elimu tz.
Jamaa yangu alifel ordinary level na akarudia pale tegeta akapata vjicredit na akaanza form six akafel tena akapata four ya 17 HKL akaenda maturation SAUT leo anasubir ajira from saut tabora
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom