Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
una akili ndogo sana bro, hata wewe umeelimika kweli? acha kudanganya wenzako. unamwekea mtaji mtoto anayeenda kufeli, si usimpeleke kabisa umpe tu hiyo ada akaanze kuuza karanga barabarani mapema?Kwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Hana hela huyo asikuchoshe...una akili ndogo sana bro, hata wewe umeelimika kweli? acha kudanganya wenzako. unamwekea mtaji mtoto anayeenda kufeli, si usimpeleke kabisa umpe tu hiyo ada akaanze kuuza karanga barabarani mapema?
una akili ndogo sana bro, hata wewe umeelimika kweli? acha kudanganya wenzako. unamwekea mtaji mtoto anayeenda kufeli, si usimpeleke kabisa umpe tu hiyo ada akaanze kuuza karanga barabarani mapema?
Wapo sana.shule moja hapa jirani ya kata Kuna watoto walipata l za 10,11na 12.mwaka uliopita😂😂😂😂😂Shule za kata huwa wanafeli wote? Je Hakunaga wanaopata div 1, div 2 ama div 3 katika shule za kata ?
Ndembela hiihii mkuu? Au ipo nyingine?Kwa mbeya hata kitaifa shule zinazo fanya vizuri ni MASS (Mbeya Adventist Secondary School) hawa ndo washindani wa kwanza na st .Francis na hao girls wakizubaa wanaachwa na MASS kwa umbali mrefu mno
Ya pili ni NASS ndembela Adventist sec. School
😂😂😂😂😂😂Ndembela hiihii mkuu? Au ipo nyingine?
Eeh, mkuu hiyo hiyo unayo ijua ya wasabato hapoNdembela hiihii mkuu? Au ipo nyingine?
Hakuna shule hapo.Kwa mbeya hata kitaifa shule zinazo fanya vizuri ni MASS (Mbeya Adventist Secondary School) hawa ndo washindani wa kwanza na st .Francis na hao girls wakizubaa wanaachwa na MASS kwa umbali mrefu mno
Ya pili ni NASS ndembela Adventist sec. School
Nimebaki namshangaa tu... labda jamaa ni msabato pia hivyo anajaribu kuziweka shule za kisabato kwenye ramani...Hakuna shule hapo.
Hamna shule pale mkuuEeh, mkuu hiyo hiyo unayo ijua ya wasabato hapo
Sijaribu kuziweka kwa ramani , ila zilikuepo kwa ramani tangu zamaniNimebaki namshangaa tu... labda jamaa ni msabato pia hivyo anajaribu kuziweka shule za kisabato kwenye ramani...
Ipo mkuu, mpeleke mwanao akue kiroho, kimwili na kiakili atakuwa Ten times betterHamna shule pale mkuu
Mdogo wangu wa kunifuata kasoma mwaka mmjoa ndembela ikiwa pale tukuyu kabla ya kuanza mgogoro ila alihamishwa na kupelekwa manow... so naijua vizuri sanaIpo mkuu, mpeleke mwanao akue kiroho, kimwili na kiakili atakuwa Ten times better
Ingekuwa kwa wenzetu wangefanya follow up ya hao wanafunzi na ufaulu wao wa high school na University.
Inawezekana wanahifadhishwa na kwa vile masuali yanakuwa hayana tafauti na ya mwaka au miaka miwili iliyopita basi inakuwa rahisi kuweza kufundisha wanafunzi masuali ya matarajio.
Ijapokuwa ni Division 1 lakini hakuna hata normal distribution kwenye hiyo grade!
Mkuu kumbe kabla ya mgogoro, nenda saizi kaoneMdogo wangu wa kunifuata kasoma mwaka mmjoa ndembela ikiwa pale tukuyu kabla ya kuanza mgogoro ila alihamishwa na kupelekwa manow... so naijua vizuri sana
Huna pesa mla mihogo weweKwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Weka matokeo ya mwaka jana hapa mkuu...Mkuu kumbe kabla ya mgogoro, nenda saizi kaone
Hatari sana , ADA Yake ipoje , tuangalie na hapo kwanzaYani katika wanafunzi 91 ni wanafunzi wanne tu ambao hawana Div 1 ya 7 duh [emoji3][emoji3][emoji3]