St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Mdwe
Elimu ya siku hizi imekuwa mdebwedo sana! Ukitaka kujua hili waulize walimu wa vyuo na waajiri. Binafsi sio Mara moja nimewafanyia interview vijana kwenye mambo ya kazi na naishia kusikitika jinsi uelewa wao ulivyo wa mashaka.
Mdwebedo huo upo kwa private tu ambao mtihan ni mmoja lakini ukienda serikali huko vijijin ni masifuri na four😂
 
Ujinga punguza kaangalie majina ya hao watoto kama kuna mnyakyusaa
 
Hujakosea hata kidogo,Watanzania wengi tumeumbwa na roho za ajabu sana,kupongeza juhudi na mafanikio ya mtu ni nadra sana,mtu akiwa tajiri ni mwizi au freemason anaua ndugu zake wakati wewe unashinda kutwa Simba ,Yanga.
Nimewahi kusikia wakati wa Ndalichako hizi St kuwa zilikuwa zinapendelewa,mbona Ndalichako hayupo na bado zinadunda?Tupunguze wivu.....Hongereni sana wale mliofanya vyema
 
Vyuoni wengine wanaacha vyuo kabisa
 
Ila yeye anaetuhumu akipata utajiri ni halali,waafrika bure kabisa!
 
Ujinga punguza kaangalie majina ya hao watoto kama kuna mnyakyusaa
Ungemrekebisha katika hoja yake, ila kusema Wanyakyusa hawapo ni kujidanganya. Kuna wanyakyusa kwa majina yao na kuna wasiotumia majina ambayo yana identify asili yao.
 
Vyuoni wengine wanaacha vyuo kabisa
Kwa hiyo watu wanavyoshonana huko kila mwaka kutafutia watoto wao nafasi kwenye hizo shule, lengo lao ni watoto wakifika vyuo vikuu wakimbie elimu?
Nitafutie mmoja tu unayemjua wewe aliyetoka hizo shule ambaye alikimbia chuo sababu ya ugumu wa masomo.
 
Ungemrekebisha katika hoja yake, ila kusema Wanyakyusa hawapo ni kujidanganya. Kuna wanyakyusa kwa majina yao na kuna wasiotumia majina ambayo ya identify asili yao.
Yaan siko hanta into wanyaki .nachukia maukanda na maukabila hiyo shule haihusiani lolote na mbeya pride ikihamia zanzibar itapata the same marks heshima iende kwa kanisa katoliko
 
Yaan siko hanta into wanyaki .nachukia maukanda na maukabila hiyo shule haihusiani lolote na mbeya pride ikihamia zanzibar itapata the same marks heshima iende kwa kanisa katoliko
Ndiyo maana nikakushauri kwamba, mrekebishe katika namna ya kuto dis wengine, wengi tunachukia ukanda sababu una madhara kuliko faida.
Jinsi ulivyoiweka inaonyesha unawachukia watu wa kanda fulani, kama yeye anavyojaribu kuwapa sifa watu wa kanda hiyo.
 
Ndiyo wewe nini? Nilikipiga hapo!!
 
Duniani kote kuna shule za serikali na private za vipaji maalumu ambazo huchukua the best only kujiunga nazo

Mfano kwa Tanzania vipaji maalumu ziko kama Mzumbe sekondari, tabora boys, kibaha sekondari nk huko hupelekwa vipanga waliofaulu hasa mitihani yao

Private pia kuna shule za watoto vipaji maalumu wenye ufaulu mkubwa kujiunga ndizo kama hizo St Francis nk usishangae hilo liko pote duniani

Hata vyuo vikuu kuna ambavyo huchukua vipanga tu asikikia kubwa kwa Tanzania ni UDSM na Muhimbili
 
Watu wanagonga A maths as fuq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…