Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nakubaliana na unachosema ,ila ikumbukwe huyo mgonjwa ambaye anazungumziwa alifeli form two kwa hiyo umakini kwake ni mdogo huenda aliambiwa diagnosis kamili ya tatizo lake yeye akaishia tu njiani.Septicemia sawa maana ni maambukizi ya bacteria kwenye mfumo wa damu ila ukimwambia mtu una maambukizi tu bila ku specify ni maambukizi ya aina Gani SI sawa unakuwa huna tofauti na wale jamaa wa herbal clinic anamsambia mgonjwa
DX ; Stress
Treatment; Apunguze mafuta ale mboga mboga na matunda na hapo keshakufanyisha kipimo Cha mwili mzima bill inakuja laki 350.
Lakini pia madaktari wana concentrate na treatment ya msingi ndio maana unaweza ukakuta kwenye diagnosis akaandika URTI (Upper respiratory tract infections ) bila ku specify lakini treatment atakupa sahihi kuokoa muda.