St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Simuoni mjanja kuwa Rais

Nachomaanisha pamoja na kuwa na matokeo yasiyo mazuri shuleni bado hakukata tamaa

U Rais ni ngazi ya mwisho kabisa…ametokea mbali sana na mapito mengi sana kuanzia kujiendeleza hadi kufikia ngazi mbalimbali ikiwemo kuwa Mkuu wa taasisi za kimataifa kanda ya Tanzania kwa muda mrefu tu

Confidence yake kwny maeneo mengi aliyopita wengi tu wenye matokeo mazuri zaid yake hawana
Mkuu, wewe unamwona Samia mjanja sana kwa Magufuli kufa akawa Rais? Siyo wote wanapenda siasa ati. Actually, wapenda siasa ni wachache sana. Wakati Taifa la Isarel linaundwa 1947, Albert Einstein aliombwa kwenda kuwa Rais wao wa kwanza, akakataa.
 
Katika mazingira yetu, wengi wanaofanikiwa ni wenye elimu. Na elimu maana yake siyo tu div 1 point 7 ya form iv. Hata Samia ana elimu japo hakuwa Tanzania One.
 
Ndo maana vyuoni hawaonekani
 
Unalosema ni kweli, angalia A zao ni za yale masomo ambayo wakipiga past paper za kutosha lazima wapate A. Waangalie katika physics Wana C na B za kutosha. Mwanafunzi akifundishwa vizuri mitihani ya kidato cha 4 ni rahisi sana kwa masomo ya sanaa.
Kwanza huo mchakato wa kupata nafasi pale unaufahamu vizuri? Ndungu yangu pale wanakwenda top cream,nina watoto wawili nawafahamu wamepita pale na wote wametoka na GPA ya 3.9 na 3.8 UDSM tena Civil Engineering na Geology.Tukubali tu pale wanakwenda watoto walio vizuri kichwani.
 
Kama sio chuki..tupe ushahidi kwa hizi tuhuma zako..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katafute nafasi ya kidato Cha kwanza uone paper la mchujo atakalopewa mwanao wale wanachukua cream ya std 7 Kisha wanaenda kuinenepesha
 
Elimu ya siku hizi imekuwa mdebwedo sana! Ukitaka kujua hili waulize walimu wa vyuo na waajiri. Binafsi sio Mara moja nimewafanyia interview vijana kwenye mambo ya kazi na naishia kusikitika jinsi uelewa wao ulivo wa mashaka
Vijana wengi 0
 
Mkuu unashangaa nini??!!kwao elimue gani hapa tz??hii ya kukariri??tena unakariri kwenye mazingira mazuri!!!halafu wanaenda Hadi chuo kikuu halafu wakikosa ajira wanahangaika kitaa bila uwezo wa kujiajiri???si ndio!!!siku ukisikia matokeo ya mtihani w fom four kijana katengeneza jokofu la kutumia mafuta ya taa njoo uwasifu humu!! LAKINI kwao mtaala huu andika hao ni wajinga tu tena na hatma yao ni ya kijinga tu mkuu!!!
 
Katika mazingira yetu, wengi wanaofanikiwa ni wenye elimu. Na elimu maana yake siyo tu div 1 point 7 ya form iv. Hata Samia ana elimu japo hakuwa Tanzania One.
Sikuhizi kuwa ni A sio kutoboa kimaisha Kuna other factors tofauti na enzi za uhuru, so watoto wafunzwe na mengineyo nje ya kupata A tu za kwenye makaratasi
 
[emoji108]
 
Katafute nafasi ya kidato Cha kwanza uone paper la mchujo atakalopewa mwanao wale wanachukua cream ya std 7 Kisha wanaenda kuinenepesha
Kama una mtoto ni average pale hana nafasi,hakuna blah blah,mtoto Kipanga atapeta,akiwa slow learner wewe tafuta kwingine,St.Francis wala usiifikirie kichwani mwako,nyingine ni Cannosa na Marian,hizo usisogelee pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…