Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Sio kweli, According to Socrates Bahati ni matunda ya juhudi, kwamba bahati haiwezi kuja tu mahali pasipo na juhudi.Sawa na kusema "Hata mwewe anatua palipo na mzoga".Ila msisahau maisha yanaegemea Sana kwenye bahati kuliko juhudi