mkuu kama nakufananisha.........hatujawahi kupigana pale mashujaa kweli.......au vile vita na Naura primary kule mtoni umewahi kushiriki....?...kwanza head teacher wako alikuwa nani...? marehemu Anna Swai au Mrs Mwenera......?
hahaaa! Umenkumbusha mbali Preta vile vita nimeshiriki sana tu! Nilianza Shule ilikuwa chini Mwl. Anna Swai RIP then nikiwa la 5 ka ckosei hivi Mwl. Mwenera akawa mkuu...
mkuu kama nakufananisha.........hatujawahi kupigana pale mashujaa kweli.......au vile vita na Naura primary kule mtoni umewahi kushiriki....?...kwanza head teacher wako alikuwa nani...? marehemu Anna Swai au Mrs Mwenera......?[/QUOTE]
unamjua binti wa huyo mama, Gilda? ntasutwa Nyamayao mie kwa umbea.

yeah...but sijamuona long tyme.......kusutwa sunna mwanakwetu.......
mkuu kama nakufananisha.........hatujawahi kupigana pale mashujaa kweli.......au vile vita na Naura primary kule mtoni umewahi kushiriki....?...kwanza head teacher wako alikuwa nani...? marehemu Anna Swai au Mrs Mwenera......?[/QUOTE]
Duh @Nyamayao umenikumbusha mbali sana Mwl Mwenera alikuwa na kabinti kazuri niliwahi kukanyatia kipindi wamehamia Sanawari nakwambia nilikimbizwa na mijibwa break ya kwanza ilikuwa CEDHA sikurudi tena ha ha ha.
unamjua binti wa huyo mama, Gilda? ntasutwa Nyamayao mie kwa umbea.
hilo kanisa ni la catholic au anglican?
unamzungumzia yupi sasa coz kuna Koku na Gilda...hahahah
unamzungumzia yupi sasa coz kuna Koku na Gilda...hahahah
Namzungumzia marehemu Koku katoto kalikuwa kazuri kama pilau la ubarikio bahati mbaya akaangukia penzi la Mpare mmoja [kuli] ambaye naye keshatangulia mbele ya haki unajua tena kale kaugonjwa ketu kanavyotafuana watu.
acha tu Ngongo, Koku aliniuma sana,sasa hivi mama kabakiwa na huyo mwehu Gilda, koku alikuwa mtu wa watu sana tofauti kabisa na Gilda, alimkamata mhaya wakapelekeshana weee mpaka wakatengua torati.
Ile kwaya wanaimba beatrice muhone na mumewe ipo? Nimetafuta cd yao ina wimbo wa usinipite mwokozi hadi nimechina.
Namzungumzia marehemu Koku katoto kalikuwa kazuri kama pilau la ubarikio bahati mbaya akaangukia penzi la Mpare mmoja [kuli] ambaye naye keshatangulia mbele ya haki unajua tena kale kaugonjwa ketu kanavyotafuana watu.
acha tu Ngongo, Koku aliniuma sana,sasa hivi mama kabakiwa na huyo mwehu Gilda, koku alikuwa mtu wa watu sana tofauti kabisa na Gilda, alimkamata mhaya wakapelekeshana weee mpaka wakatengua torati.
halafu huyo kahamia kanisa la kimandolu, siku hizi hayupo tena na hiyo kwaya, alifanyaga uzinduzi wa albam yake Naura Spring wakajaa watoto watupu, apunguze maringo huyo mdada, mume wake mpole kama nini mnyasa wa watu yeye kucheka cheka tu na kila mtu, laigwan alimpa kiburi sijui waliishia wapi...
Duh mume wake rafiki yangu sana siku hizi anaegesha gari [Noah] maeneo ya EA hotel ni shabiki mzuri wa Arsenal FC.Beatrice shule yake ndogo sana nadhani ni eneo linalomsumbua sana hana jipya anadhani kuwakumbatia wanasiasa wenye majina ni deal kubwa.
Mwl Mwenera anayekijana wake ana maringo utadhani shoga kuna wakati alikuwa akisoma Nairobi sijui siku hizi yuko mitaa gani.
sijamuona muda mrefu sana huyo kijana, ana maringo kama ya dadake Gilda, pale mtu alikuwa Koku tu
Nakaribia kureveal your actual names kutokana na hizo stori zinazotiririka hapa!
acha zako wewe tiririka na thread achana na mengineyo, Jabulani, hivi hiko kibaa bado kipo? khaa nilishagida pale wakati fulani, sijapita hiyo njia long time.
Haa ha ha Nyamayao kumbe mpaka mitaa ya Jabulani unapita basi mwenzako siku hizi kuna kapub mitaa hiyo hiyo kanaitwa XL Pub siku za jumamosi napenda kutazama mipira ligi ya UK watu wakizidi nahamia EA Hotel.
basi Ngongo tutakuwa tumeshakumbana tu, EAC nahudhuria mara nyingi jmosi na jipili kumsindikiza mr ku watch, napo palianza kujaa wakati wa mechi pakawa kama bar za uswahilini..sijapita huko long time, ntapita weekend hii nione hako ka pub,