St. John hapafai

bora nikae bila kusoma kuliko kwenda st john
 
Hii ni kweli kabisa kama TCU MNAFIKIRI NI UONGO NENDA MWANGALIE MATOKEO YA SEMESTER ILIYOPITA :rockon:
 
Huo ni uongo acha uchochezi kuhusu simuco! Ni coz gani haijasajiliwa na tcu??

 

2kikwambie uthibitishe una ushahdi juu ya tuhuma zako?
 

siwatetei ila kwahaya hujawatendea haki! Prospectus ya st john university ipo kwenye internet, waalimu wenye digree ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza siyo jambo geni kwa tanzania yenye uhaba mkubwa wa wahadhiri, hii ni njia mojawapo ya kuaandaa wahandiri bora wa baadae vyuo vikongwe hapa nchini kama udsm, sua vinawatumia pia
 
mm nipo first year campus ya dar ya st.john,hakuna cha prospectus wala almanac,unaekataa hl huijui st.john,mazngira n mabovu ya kusomea.hapa ilitakiwa iwe prmary xkul,coz mazngra kiujumla hayana ubora wa kuitwa chuo kikuu.co kwa majengo2 bali hata academics hapa n mbovu,hazna kiwango.kuna mtu anaitwa baitu hapa n lecture wa Baed,anawafelsha watu kwa sabab zake bnafc,ukmfata anajb short ucnfundshe kaz.kama uamn njoo bugurun malapa uone haya.
 

unauhakika prospectus haijawekwa kwenye website yao?
 
kwani prospectus inatakiwa iwekwe kwenye website au wagawiwe wanafunzi?

website ni njia mojawapo tena inayoshauriwa kwani unapata updates muhimu kuliko hard copy ambayo siyo rahisi kufanyiwa marekebisho katikati ya mwaka wa masomo.
 

na huyo Abdul ni mtoto wa nani? Mchungaji? Askofu?
 

na nyongeza ni kuwa mwaka jana UDSM walihitimu watu 13 ambao ndo wako 1st year
 
.....Interesting! Hakuna anayezungumzia uwezo wa wanafunzi wa St. John. Ni walimu tu wanazungumziwa. Wanafunzi wengi wanaoenda SJUT wana uwezo mdogo sana wa kitaaluma. Mi nawalaumu wanasiasa kwa kuwaaminisha watanzania kwamba kila mtu anatakiwa awe na digrii. Sio kila mtu anahitaji digrii. Mwenye degree ni analyst, sio mtendaji-technician. Tunahitaji wenye certificate and diploma wengi kuliko wenye digrii.
 
Tembelea website yao (St.John's University of Tanzania) utakuta prospectus 2012-13, almanac and student handbook 2013. Mwanafunzi aliye serious anajua la kufanya. Kwa hili wamekuwa consistent and uptodate. Kwa mengine sina first hand information.
 
kwani prospectus inatakiwa iwekwe kwenye website au wagawiwe wanafunzi?

Boss kumbuka watu wanalipia prospectus na kwa hili ni haki ya kila mwanachuo ya kupewa. Kwo unataka kusema gharama ya printing ni ya nani? Nadhan kama umeenda baadhi ya vyuo kama IFM nk, utaona... Kuhusu walimu mpo mnaofundisha na mna bachalor zenu. tunafaham kazi ya ma-TAs
 
SIYO SIRI MTOAUZI KASEMA YA KWELIKABISA COZ HATA MM NI MWANAFUNZI WA ST JOHN'S FIRST YEAR NASOMA BAF MAIN CAMPAS[MAZENGO-DODOMA]
HADI HII LEO NI WIKIYA 3 TANGU MATOKEO YA SEMISTER YA KWANZA YATOKE ILA WANAFUNZI TAKRIBANI ZAIDI YA 150 KATI YA 210 HAWAJAPATA MATOKEOYAO MM MWENYEWE NI MMOJAWAO
NA KITUKILICHOSABABISHA TUSIPATE MATOKEO NI KUGOMA KWA HALALI (nikisema kugoma kwa halali namaanisha tulifuata process zote na malalamiko etu kuhusu kubadilishiwa mwalimu wa hiyo kozi tulianza mwaka jana /2012/, kwa kuandikabarua kwa dean of faculty,dean of student na kwa DVCA)
PAMOJA NA KUFUATA HATUA ZOTE STAHIKI LAKINI BADO UONGOZI WA JUU WALIOGOPA KUTUBADILISHIA LECTURER,KWA HALI HIYO SISI WANAFUNZI TUKAWAOMBA HIYOKOZI TUISOME SEMISTER IJAYO LAKINI HATUKOTAYARI KUFUNDISHWA NA HUYO LECTURER (ALLEN MTETEMELA)
TULISEMA HIVYO MAANA TANGUMWEZI WA DECEMBER 2012 HADI TUNAKARIBIA KUFANYA UE HUYO LECTURER HAKUWAHI KUINGIA DARASANI NA HAPOHAPO TUNALAZIMISHWA KUFANYA UE
WAKATI MODULE KIBAO HATUJASOMA!


MGOMO HUO ULIKUWA KUTOFANYA MTIHANI WA BUSINESS LAW AMBAO LECTURER WA HIYO KOZI HAKUWA NA VIGEZO VYA KUFUNDISHA [KIWANGO CHA ELIMU]
ILA HIYO ILIKUWA SI HOJA KUBWA SANA KWANI KUNAMALECTURER WENGI AMBAO WANA BACHELOR NA WANAFUNDISHA
TATIZO LA HUYU LECTURER [ALLEN MTETEMELA] NI KUTOA LUGHA ZISIZOFAA KWA WANAFUNZI
MFANO; KUWAITA WANAFUNZI VILAZA
ANASEMA ''NIKIMTAKA MWANAFUNZI YEYOTE HUMU NDANI SIMKOSI'' [KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NAWANAFUNZI]

KUWALAZIMISHA WANAFUNZI KUNUNUA VITABUVYAKE KWA BEI YA GHALI NA KUTUAMBIA USIPONUNUA UTAREPEAT KOZI

NA MWISHO KABISA ANASEMA ''MM NDO MTETEMELA HAKUNAMTU MWENYE MAMLAKA YA KUPINGA KAULIYANGU KTK HIKI CHUO''

HUYU JAMAA ANAJIFANYA MUNGU MTU KISA NI WATOTO WA MWENYECHUO MTETEMELA

HATA DVCA ANAMUOGOPA HUYU JAMAA....


[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=NA]#NA JUTA[/URL] KWANINI NILIJAZA HIKICHUO

#NA MWAKA WA 2 KAMA MAMBO YATAKUWA POA NATAKA KUAMA KABISA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…