St. John we are tired now

St. John we are tired now

Mostwanted boy

Senior Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
115
Reaction score
10
vyuo vingi vikubwa na vidogo vishatoa selection zao lakini chuo hiki ambacho ni kichanga sana bado hakijatoa! What's wrong with this university? Mwenye info zozote hatufahamishe.
 
Kila chuo kina utaratibu wake, we endelea kusubiri watatoa tu !!
 
hata mwk jn illikuwa hvyo...waltoa late baada ya tcu kurelease so vumilia baba
 
Ndg me hata sielewi hii nchi inaendaje. Kwanini isiwe km matokeo ya necta! Watangaze mojakwamoja
 
chuo cha kata hicho kwahiyo usishangae sana wanashindwa hata wenzao wa TEKU wameshatoa mzigo tyr,be patient b'se ulikichagua hicho chuo
 
Hahaha ni kweli metal ila unajua inachosha ndg yang ck ya nne sasa twasubil wkt machaguo yte yameisha . Da! Kama kuna place inachanganya ni hapa. Af wengne wameshakonda ck tano hawajala
 
Back
Top Bottom