St.Joseph University Arusha Kwa anayejua

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
St.Joseph wametoa selection zao cha ajabu wale walio_apply campus ya Arusha majina hayapo,
Kingine hii campus haikuwepo kwenye guidebook ya TCU but during 2nd application waliiweka.
Hivi kweli hii campus ipo?

Kwa anayejua nawasilisha
 
St.Joseph wametoa selection zao cha ajabu wale walio_apply campus ya arusha majina hayapo,
Kingine hii campus haikuwepo kwenye guidebook ya tcu but during 2nd application waliiweka.
Hivi kweli hii campus ipo?
Kwa anayejua nawasilisha.

yap yap iyo campus ipo ndo nyie mliochaguliwa ktk iyo campus ndo mtakua wanafunzi wake wa awamu ya kwanza i mean nyie ndio mtakua batch namba 1 ktk iyo campus...nenda kasome kijana most all st.joseph college wanatoa best en quality education..u wil neva regret ktk ilo bt jiandae kupiga shule koz hawa jamaa(wahindi)hawataki masihara ktk kusoma...na uwe tayar kuhudhuria clas kila kipind koz st.joseph ndo vyuo vinavyoongoza ktk mambo ya kuitana majina i mean attendanc
 
attendance tena.....!!!?
 
yeap attendance ndo kila ki2 ktk vyuo vyao ukiwa below ya 75% ujue unachezea detain na kinachofuata ni break ya mwaka mzima nyumban

mbona hao jamaa ni wakatili sana kuliko hata Adolf hitre
 
Sikupenda kuchangia katika hili ila inanipasa, Dogo kama una yafuatayo kapige hapo shule;-
1. nidhamu (hata ukionewa usilalamike)
2.mhudhuriaji wa kila kipindi maana hata hiyo 75% inaambatana na barua kibao za kuomba msamaha na vyeti vya kwa nini ulikuwa mtoro mfano medical certificate
3. kusoma kama mwanafunzi wa shule ya sekondary usionekane unaongea na simu chuoni, class saa mbili hadi saa kumi kila siku una break ya chai na ya msosi
4. assaigment karibia kila siku pamoja na test kibao
NAKUTAKIA MASOMO MEMA!
 
campus ipo, nam hapa naish oposite na campus hyo. ila baadh y majeng ndo yanamalziw kujengwa na soon watakua wamemalza, ucjal mwanzon hakikuwep coz walkua hawajawka baadh y vtendea kaz, na kw sas washamalza.
 
Ahsante mkuu
Lakini tatizo ni kwamba majina ya walio-apply kwenye hiyo campus hayaonekani kwenye website yao.
 
Sikupenda kuchangia katika hili ila inanipasa, Dogo kama una yafuatayo kapige hapo shule;-
1. nidhamu (hata ukionewa usilalamike)
2.mhudhuriaji wa kila kipindi maana hata hiyo 75% inaambatana na barua kibao za kuomba msamaha na vyeti vya kwa nini ulikuwa mtoro mfano medical certificate
3. kusoma kama mwanafunzi wa shule ya sekondary usionekane unaongea na simu chuoni, class saa mbili hadi saa kumi kila siku una break ya chai na ya msosi
4. assaigment karibia kila siku pamoja na test kibao
NAKUTAKIA MASOMO MEMA!

ni kweli kabisa
 
Duuuh mpaka simu hawataki utumie chuoni???? daaaah aza boy afadhali kuliko sjuit
 
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii
 
Nipo arusha ila sijawahi kuona hiki chuo. Majengo yake yako wapi hapa arusha?
 
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii

reli tu ilimshinda leo hii aweze elimu ama kweli hii ndo BIG RESULTS NOW
 
Sikupenda kuchangia katika hili ila inanipasa, Dogo kama una yafuatayo kapige hapo shule;-
1. nidhamu (hata ukionewa usilalamike)
2.mhudhuriaji wa kila kipindi maana hata hiyo 75% inaambatana na barua kibao za kuomba msamaha na vyeti vya kwa nini ulikuwa mtoro mfano medical certificate
3. kusoma kama mwanafunzi wa shule ya sekondary usionekane unaongea na simu chuoni, class saa mbili hadi saa kumi kila siku una break ya chai na ya msosi
4. assaigment karibia kila siku pamoja na test kibao
NAKUTAKIA MASOMO MEMA!

Dduuuuh! Makubwa!!!
 
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii

hii ndio nzuri maana waliopata four sio kwamba hawakuwa na qualification au akili za kuendelea na masomo ya juu.
Samthn else niulize je wanapata mkopo hawa wa div four au ni wale wenye hela zao kusoma private?
 
Back
Top Bottom