Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yatotoka tu mkuu
St.Joseph wametoa selection zao cha ajabu wale walio_apply campus ya arusha majina hayapo,
Kingine hii campus haikuwepo kwenye guidebook ya tcu but during 2nd application waliiweka.
Hivi kweli hii campus ipo?
Kwa anayejua nawasilisha.
yap yap iyo campus ipo ndo nyie mliochaguliwa ktk iyo campus ndo mtakua wanafunzi wake wa awamu ya kwanza i mean nyie ndio mtakua batch namba 1 ktk iyo campus...nenda kasome kijana most all st.joseph college wanatoa best en quality education..u wil neva regret ktk ilo bt jiandae kupiga shule koz hawa jamaa(wahindi)hawataki masihara ktk kusoma...na uwe tayar kuhudhuria clas kila kipind koz st.joseph ndo vyuo vinavyoongoza ktk mambo ya kuitana majina i mean attendanc
attendance tena.....!!!?
yeap attendance ndo kila ki2 ktk vyuo vyao ukiwa below ya 75% ujue unachezea detain na kinachofuata ni break ya mwaka mzima nyumban
mbona hao jamaa ni wakatili sana kuliko hata Adolf hitre
Sikupenda kuchangia katika hili ila inanipasa, Dogo kama una yafuatayo kapige hapo shule;-
1. nidhamu (hata ukionewa usilalamike)
2.mhudhuriaji wa kila kipindi maana hata hiyo 75% inaambatana na barua kibao za kuomba msamaha na vyeti vya kwa nini ulikuwa mtoro mfano medical certificate
3. kusoma kama mwanafunzi wa shule ya sekondary usionekane unaongea na simu chuoni, class saa mbili hadi saa kumi kila siku una break ya chai na ya msosi
4. assaigment karibia kila siku pamoja na test kibao
NAKUTAKIA MASOMO MEMA!

Duuuh mpaka simu hawataki utumie chuoni???? daaaah aza boy afadhali kuliko sjuit
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii
Sikupenda kuchangia katika hili ila inanipasa, Dogo kama una yafuatayo kapige hapo shule;-
1. nidhamu (hata ukionewa usilalamike)
2.mhudhuriaji wa kila kipindi maana hata hiyo 75% inaambatana na barua kibao za kuomba msamaha na vyeti vya kwa nini ulikuwa mtoro mfano medical certificate
3. kusoma kama mwanafunzi wa shule ya sekondary usionekane unaongea na simu chuoni, class saa mbili hadi saa kumi kila siku una break ya chai na ya msosi
4. assaigment karibia kila siku pamoja na test kibao
NAKUTAKIA MASOMO MEMA!
Yap ila unaweza kutumia chooni
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii
Nipo arusha ila sijawahi kuona hiki chuo. Majengo yake yako wapi hapa arusha?