St.Joseph University Arusha Kwa anayejua

St.Joseph University Arusha Kwa anayejua

Duuuh mpaka simu hawataki utumie chuoni???? daaaah aza boy afadhali kuliko sjuit

kIbishi watu wanatumia lakini wapowasimamia sheria za chuo akikuona anachukua anakubabaisha kiaina then unaandika barua anakupa! japo mara nyingi ni usumbufu na kukuweka muda wote uwe muoga xo hata ukiajiliwa unakua muoga kwa bosi mpaka kifo kwani toka lakwanza hadi chuo(last step to grow) ni kuogopa ogopa tu! ukiwa waziri unasaini mkataba na mzungu bado unakuwa na ule uoga hata kama unasaini na mtu mwenye cheo sawa na chako kila kitu yesi, ntakupa asilimia tatu yes! mimi nachimba na kwenda kusafishia nchini kwangu napima uzito natuma taarifa ndo nakulipa yes!!!!!!!
Kumbe tatizo ni mazingira!
 
NAOMBA NIWEKE SAWA BAADHI YA MAMBO
1.Simu unaweza ukawa nayo hata darasani ila matumizi kwa darasani hata kuchati hairuhusiwi,,na baadhi ya maeneo yanayohitaji utulivu,,hata walimu hawaruhusiwi kutumia simu(SHERIA HII INAMBANA MWALIMU NA MWANAFUNZI)
2.Kwa wanaume ni lazima uvae shati lenye kola,,shati lisilo na kola huwezi kuingia darasani watakutoa tu
3.ukiingia maabara ni lazima uvae viatu vyeusi au vya brown na koti husika(kinyume na apo unatolewa)
4.ukikutwa unatazamia au kuibia mtihani mmoja unafutiwa mitihani yako yote.
5.KWA UJUMLA WANATAKA UWE NA NIDHAMU YA HALI YA JUU BILA KUJALISHA UMRI WAKO

NB,,,Mimi ilinipa tabu hapo mwanzo lakini kwa sasa nimeshazoea.....na naenjoy na chuo changu,,,
kuna
asignment-80 kila somo kumi
test-32 kila somo 4
university exam..8
uje ukiwa umejipanga kusoma,,la sivyo patakushinda
 
Nataman sana kusoma st.joseph university (college of eng and tech) but ada ndo inanitoa jasho.. anaesoma apo plz anielekeze kama mtu ukipata loan 80% au 100% utatakiwa kuongeza ngap ili uweze kulipa ada?? Kuhusu msosi na hostel sio ishu kwangu bcoz home ni karibu na chuo hicho
 
NAOMBA NIWEKE SAWA BAADHI YA MAMBO
1.Simu unaweza ukawa nayo hata darasani ila matumizi kwa darasani hata kuchati hairuhusiwi,,na baadhi ya maeneo yanayohitaji utulivu,,hata walimu hawaruhusiwi kutumia simu(SHERIA HII INAMBANA MWALIMU NA MWANAFUNZI)
2.Kwa wanaume ni lazima uvae shati lenye kola,,shati lisilo na kola huwezi kuingia darasani watakutoa tu
3.ukiingia maabara ni lazima uvae viatu vyeusi au vya brown na koti husika(kinyume na apo unatolewa)
4.ukikutwa unatazamia au kuibia mtihani mmoja unafutiwa mitihani yako yote.
5.KWA UJUMLA WANATAKA UWE NA NIDHAMU YA HALI YA JUU BILA KUJALISHA UMRI WAKO

NB,,,Mimi ilinipa tabu hapo mwanzo lakini kwa sasa nimeshazoea.....na naenjoy na chuo changu,,,
kuna
asignment-80 kila somo kumi
test-32 kila somo 4
university exam..8
uje ukiwa umejipanga kusoma,,la sivyo patakushinda

vipi kuhusu ada zao
 
yap yap iyo campus ipo ndo nyie mliochaguliwa ktk iyo campus ndo mtakua wanafunzi wake wa awamu ya kwanza i mean nyie ndio mtakua batch namba 1 ktk iyo campus...nenda kasome kijana most all st.joseph college wanatoa best en quality education..u wil neva regret ktk ilo bt jiandae kupiga shule koz hawa jamaa(wahindi)hawataki masihara ktk kusoma...na uwe tayar kuhudhuria clas kila kipind koz st.joseph ndo vyuo vinavyoongoza ktk mambo ya kuitana majina i mean attendanc
powa kaka maana nami ni mmoja wa candidate niliyechaguliwa kwny hiki chuo
 
yeap attendance ndo kila ki2 ktk vyuo vyao ukiwa below ya 75% ujue unachezea detain na kinachofuata ni break ya mwaka mzima nyumban

Aisee kama ningesoma hiki chuo ningepata tabu sana
 
Haleluya na iwe hivyo ili nitulie xul ili nitimize ndoto zangumaana kwa kudoji vipindi nimezidi
 
campus ipo, nam hapa naish oposite na campus hyo. ila baadh y majeng ndo yanamalziw kujengwa na soon watakua wamemalza, ucjal mwanzon hakikuwep coz walkua hawajawka baadh y vtendea kaz, na kw sas washamalza.

hi,jamani naomba kuuliza hiki chuo ninafunguliwa lini
 
Dis is new campus and disciplined by religions believes!! Ur welkom chuga arifu!!!
 
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii

Yah ni kweli hata mimi nimeona vipeperushi. Ila wanasema unaanza kusoma ngazi ya cheti miaka miwili then ukiendelea mwaka wa tatu unapata cheti cha diploma alafu ukiendelea mwaka wa nne na wa tano unakua umepata degree
 
hata mie nmechaguliwa hapo. bsc in education with chemistry
Anejua ada yao naomba msaada wakuu na chuo kina funguliwa lin
Ikiwezekana mwenye Joining Instruction yao anitumie kwa,
matimbatumaini@yahoo. com.
Ahsanten kwa ushirikiano
 
chuo cha kisenge kile hakin hadh ya mtu mwenye elim zake kwenda kusom pale; mzaz km una mwanao usimpeleke st joseph coz waliop sa hv wanachofanyiwa wanajua wenyewe
 
Back
Top Bottom