julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Duuuh mpaka simu hawataki utumie chuoni???? daaaah aza boy afadhali kuliko sjuit
kIbishi watu wanatumia lakini wapowasimamia sheria za chuo akikuona anachukua anakubabaisha kiaina then unaandika barua anakupa! japo mara nyingi ni usumbufu na kukuweka muda wote uwe muoga xo hata ukiajiliwa unakua muoga kwa bosi mpaka kifo kwani toka lakwanza hadi chuo(last step to grow) ni kuogopa ogopa tu! ukiwa waziri unasaini mkataba na mzungu bado unakuwa na ule uoga hata kama unasaini na mtu mwenye cheo sawa na chako kila kitu yesi, ntakupa asilimia tatu yes! mimi nachimba na kwenda kusafishia nchini kwangu napima uzito natuma taarifa ndo nakulipa yes!!!!!!!
Kumbe tatizo ni mazingira!