Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaada kwa wale wazoefu wa st. Joseph university campus ya mbezi naombeni msaada ni vipi nitapata hostel au chumba na gharama zao zipoje? Eneo la karibu na chuo kuwe na maji full. Kama unaweza kunisaidia tupeane namba mimi zangu ni 0713519111 au 0783653704
hicho chuo majanga..nenda mbezi kabisa ukatafe madalali..utakoma na hao wahindi..hakuna kufuga nywele na ndevu kama police,kuna dressing code,kengele kama mpo primary..ada ndio balaa hata kama unapata asilimia 100 ujue utaongezea kama milion hiv..na mengine mengi..but hakuna linaloshindikana we nenda tu..
kwani wewe upo mkoa gani?Kama upo dar nakushauli nenda pale waone wanafunzi watakusaidia
msaada kwa wale wazoefu wa st. Joseph university campus ya mbezi naombeni msaada ni vipi nitapata hostel au chumba na gharama zao zipoje? Eneo la karibu na chuo kuwe na maji full. Kama unaweza kunisaidia tupeane namba mimi zangu ni 0713519111 au 0783653704
Asante wajina johnie,na je vipi kuhusu admision zao kwa mimi niliye moshi nitaipataje?mazingira ya chuo yakoje na utawala kwa ujumla.
Asante
Hongera kwa kuchaguliwa hapo na mimi nimechaguliwa tawi la songea BCS.wale wa songea jamani tupeni uzoefu wenu hapa.
Asante
Mazingira ya st.joseph dar ni mazur kiasi but kuhusu utawala ni kama primary utabanwa na wahindi mpaka ujute, yaan weng wa apo wanabanwa mpaka ata part time jobs inawawia vgumu kupga mtu akipata.
NB: ada ipo juu saaana kam walivyoelezea wengine so jitayarishe mapema kama ni kuuza shamba anza kuitangaza
Karibu sana st joseph jiandae ukifika mwaka wa nne utaenda india ,mi sasa niko india ,karibu ila jiandae na shuruba,kanzia mahudhurio 85% chini ya hapo unapigwa chini, karibu sana
Karibu ruhuwiko kijana ,ngoja nikutafutie kademu kaki ndendeule ukija kakutoe baridi