st. Joseph university in tanzania tukutane hapa

DULLAHYO

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
24
Reaction score
2
msaada kwa wale wazoefu wa st. Joseph university campus ya mbezi naombeni msaada ni vipi nitapata hostel au chumba na gharama zao zipoje? Eneo la karibu na chuo kuwe na maji full. Kama unaweza kunisaidia tupeane namba mimi zangu ni 0713519111 au 0783653704
 
Hongera kwa kuchaguliwa hapo na mimi nimechaguliwa tawi la songea BCS.wale wa songea jamani tupeni uzoefu wenu hapa.
Asante
 
kwani wewe upo mkoa gani?Kama upo dar nakushauli nenda pale waone wanafunzi watakusaidia
 
hicho chuo majanga..nenda mbezi kabisa ukatafe madalali..utakoma na hao wahindi..hakuna kufuga nywele na ndevu kama police,kuna dressing code,kengele kama mpo primary..ada ndio balaa hata kama unapata asilimia 100 ujue utaongezea kama milion hiv..na mengine mengi..but hakuna linaloshindikana we nenda tu..
 
kaka watu wameshajipanga ishu chumba cha kulala tu.
 
msaada kwa wale wazoefu wa st. Joseph university campus ya mbezi naombeni msaada ni vipi nitapata hostel au chumba na gharama zao zipoje? Eneo la karibu na chuo kuwe na maji full. Kama unaweza kunisaidia tupeane namba mimi zangu ni 0713519111 au 0783653704

St.joseph Dar wananzo hostel ambzo wanazikod kwa watu binafsi na kuwapa students but ukitaka hostel za mitaani zipo co mbali saana kama vp nchek na uniambie utanpa ngapi ya udalal ukpata chumba??? 0656540271
 
Aaaah....aaaaah!we uliyechaguliwa songea campus karibu xana.Maisha sio juu ki vile.then songea n km 950 from DSM &chuo n kama 7km from songea town.
 
Asante wajina johnie,na je vipi kuhusu admision zao kwa mimi niliye moshi nitaipataje?mazingira ya chuo yakoje na utawala kwa ujumla.

Mazingira ya st.joseph dar ni mazur kiasi but kuhusu utawala ni kama primary utabanwa na wahindi mpaka ujute, yaan weng wa apo wanabanwa mpaka ata part time jobs inawawia vgumu kupga mtu akipata.
NB: ada ipo juu saaana kam walivyoelezea wengine so jitayarishe mapema kama ni kuuza shamba anza kuitangaza
 
Karibu sana st joseph jiandae ukifika mwaka wa nne utaenda india ,mi sasa niko india ,karibu ila jiandae na shuruba,kanzia mahudhurio 85% chini ya hapo unapigwa chini, karibu sana
 
Hongera kwa kuchaguliwa hapo na mimi nimechaguliwa tawi la songea BCS.wale wa songea jamani tupeni uzoefu wenu hapa.
Asante

Karibu ruhuwiko kijana ,ngoja nikutafutie kademu kaki ndendeule ukija kakutoe baridi
 
acha utani bro mwaka wa nne india anafuata nini na unajiripia au?
Halafu et hii falcut ya electronics and communication eng v/s electrical and electronics eng ipi ni best zaidi?
 
Mazingira ya st.joseph dar ni mazur kiasi but kuhusu utawala ni kama primary utabanwa na wahindi mpaka ujute, yaan weng wa apo wanabanwa mpaka ata part time jobs inawawia vgumu kupga mtu akipata.
NB: ada ipo juu saaana kam walivyoelezea wengine so jitayarishe mapema kama ni kuuza shamba anza kuitangaza

mkuu eisten umeeleweka sana lakini mimi nimechaguliwa branch ya songea.Kuhusu kubanwa na utawala,hizo ni changamoto za kawaida tu mkuu nishajipanga.
Asante
 
Karibu sana st joseph jiandae ukifika mwaka wa nne utaenda india ,mi sasa niko india ,karibu ila jiandae na shuruba,kanzia mahudhurio 85% chini ya hapo unapigwa chini, karibu sana

Ndugu kitotonya umesomeka vizuri na hayo mengine yote nitakabiliana nayo sina wasi kabisa.pamoja sana
 
Mi nko st.joseph campus ya mbez karibun saana wadogo zangu ni information systeam n networking Eng. Mwaka wa pili,!come n find me 0714058303/0757953291
 
wale wa ST ya songea in agriculture wapi ninyi
:A S 101::A S 101::A S 101::A S 101::A S 101:
tujue twa fikia wapi
 
[QUTE=amani91;7158172]wale wa ST ya songea in agriculture wapi ninyi
:A S 101::A S 101::A S 101::A S 101::A S 101:
tujue twa fikia wapi[/QUOTE]

aman91 nimeku-pm mkuu tutafutane badae
 
Nilipotazama ile list ya Selected candidate to join St Joseph university, wameandika kwamba Kwa wanafunzi wa B.s Agricultural engineering & Food processing Engineering kwa miaka miwili ya mwanzo watasoma DSM, vp hii niwekeni sana watu Wa Agricultural engineering
 
Back
Top Bottom