Watu mliosoma vyuo vkubwa hasa Udsm mnajfanyaga bab kubwa sana,ila kuna jamaa yenu mmoja hapa kazn alikuwa anajifanya mataw na BA yake ya computer c kakutana na kichwa kmoja kina adv dip toka DIT kafunikwa mbaya na ss anaripot kwa dogo,ninavyoona mimi kila chuo kina vchwa vkar watu wa wastan na vlaza
umejitoa fahamu wewe lazima ni limbuke Wa udsm na ndio kwanza uko kwenye orientation week watu wenye akili hawadiscusss ujinga kama juju.
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..
hujaelewa nilicho kijibu ktk hlo swali... kwa taarifa yako mimi sisomi UDSM na sijutii uamuzi wa kutosoma pale angali uwezo ninao na wala sisemi haya kwasababu nimekosa nafasi ya kusoma pale LA HASHA nikitaka hata kesho naweza kwenda pale... sipo hvyo unavyofikiria mkuu
Daaaa....kweli kufika chuo co kujua vitu watu humu ndani wanatema pumbaaa tupuuuuu....unanipa wakati mgumu sanaa kukutafakari ww ni mtu wa aina gani ambae unaona mtu ali feli necta ya 4m6 hawezi kufanya kitu kikubww....eti hawezi kuwa na high thnking capacity kweliiii na ww ni msomii.....mbona udsm walimchukua T.O yule wa 4m6 kamaliza tosamanga 2006 ELIASI na alipata A zote kwa PCM lakin kaishia wapi leo yupo tuuu kitaa ana pigana na wanafunziiii coz of dharau zake ambazo wengi wa UDSM wanazo...leo hii anazunguka kila shuleee sasa huyo utamfananisha na mtu wa vyuo vngne...
KUNA MWANDISHI KAANDIKA KITABU CHA DIPLOMATIC DISEASES" nafikiri kuna haja ya wasomi wengi kukisoma hcho kitabu na kukielewa halafu ndo mje kuchangia mada hapaaa....tatizo wengi humu ni MASHABIKI na hilo ndo tatizo kubwa MWANAUME WA KWELI SIMAMA WEWE KAMA WEWE USIFUATE MKUMBO....nani kasema ukipata A ya physics we ni kichwaaa? Mitihani yenyewe hii inavuja mwezi mmoja kablaaaa....wasimamizi wanasinzia chumba cha mtihani unafaulu kwa kuangalizia leo uje kutusumbua hapaaaa.....chuo weka one yako njeee ya geti na four yangu na weka nje ya geti den tuingie ndani tuone wat next.....daaaa
Sisi wa bongo bhna....hatutaki kutesa vichwa vyetu.....hakuna watu wanao aibika kitaa kama wa udsm hasa na tabia zao za kujikuta wakiwa chuo......roho mbayaa haijengi jamani.....kwa vile mwenzio ana E E F asiende chuo akati sifa anazo? Acheni roho mbayaaaaa kitu wanacho fanya st joseph nchi nying zilizo endelea ndo wana fanya hvyo....hujafikia vigezo fulani uwezo unao unapewa mtihani kusahihisha makosa.....na hcho tz lazima waje wakifanye miaka ya mbeleni...
Maada kam hzi ukiona mtu ana changia anashabikia tuuu hajui loloteeee
ok mkuu kunajamaa hapo juu wanaboa kichizi ........sorry

umeandika maelezo marefu ila ni pumba tupu uliyoandika hapo....umekielewa nilichokiandika hapo juu..by the way sipo kwa ajili ya kushindanisha vyuo wala kujisifu nasoma chuo gani...kwanza ngoja nikuambie kitu sio kila mtu amezaliwa kuwa civil engineer..civil engineering ni fani ambayo iko very sensitive unapofanya one mistake madhara unazungumzia vifo vya wananchi..
unapokosea kudesign water suply jua kwamba effect yake itatokea zaid ya maelfu ya wakazi..
unapokesea kudesign reinforced structure madhara yake ni vifo vingi tu kwa binadamu...
kumchukua mtu kilaza kusoma hyo course ni kujiandalia kaburi sisi wenyewe wananchi..hao wahindi wapo kwa ajili ya maslahi ndo maana wanakwambia kila mtu anaweza kuwa engineer wakati cio kweli...lectures wengi wa st.jo wanatokaUDSM kama part time huko.na wengi wanaosoma huko st.john wanalipa zaid ya milion kwenye ada zao ikimaanisha kwamba wengi wao wamesoma shule nzuri za advance za kulipia na zenye mazingira mazuri lakini bado hawakufanya vzuri..huwezi kumkuta mtoto wa maskini huko st.jo

Kweli kabisaWatu mliosoma vyuo vkubwa hasa Udsm mnajfanyaga bab kubwa sana,ila kuna jamaa yenu mmoja hapa kazn alikuwa anajifanya mataw na BA yake ya computer c kakutana na kichwa kmoja kina adv dip toka DIT kafunikwa mbaya na ss anaripot kwa dogo,ninavyoona mimi kila chuo kina vchwa vkar watu wa wastan na vlaza
Waambie hawa vijana, siku hizi jina la chuo ulichosoma halikubebi, shughuli ipo kwenye kujijengea uwezo binafsi wa kufanya kazi.
Nasikitika sana...amjui ya kuwa ukiongelea engeneering universities st.joseph ni moja ya vizuri xana in east africa...
mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity..sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking cappacity kulinganisha na aliyefaulu vzuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri
mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity
inawezekana umesoma mazingira yanayofanana kuanzia O level mpaka Adance ndio maana unashindwa kujua kuwa ufaulu unatokana na sababu nyingi sana.sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking capacity kulinganisha na aliyefaulu vizuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri
kwanza wewe utakuwa hujasoma na kama umesoma unawezo mdogo sana wa kufikiria.
kabla sijasema chochote. mtu yeyote aliyesoma O level ,akaenda Advance na baadae chuo anaweza kufanya analysis kwa wanafunzi waliosoma shule moja O level, wakasoma Combination moja Advance na Course sawa chuo.
si kweli kuwa kila aliyeonekana mzuri O level kushinda wenzake ataendelea kuwa juu kwa kila matokeo na kama ikitokea ni kwa wachache sana. mara nyingi matokeo hubadilika sana na huo sio ukilaza wala thinking capacity kwa kuwa thinking capacity tunazaliwa nayo. kifupi hapa nilitaka nikwambie kuwa THINKING CAPACIY HAIJAWAHI KUPIMWA KWA MTIHANI NA HAKUNA KIPIMO HICHO.
KAMA WANGETUMIA MTIHANI KUPIMA BASI WAGUNDUZI WOTE WAKUBWA DUNIANI WANGEKUWA NDIO WALE WANAO-ONGOZA DARASANI AMA MAPROFESA WALIOFAULU KWA MARKS ZA JUU SANA LAKINI UKWELI SI HUO,
HATA STIVE JOBS ALIKUWA NA HIGH THINKING CAPACITY KUSHINDA WATU WOTE DUNIANI KWENYE JAMBO ALILOLIDUNGUA WAKIWEMO HAO MAPROFESA NA WALIOFAULU SANA HUKU YEYE HAKUWA HATA NA DIPLOMA.
ILA KWA SABABU WEWE UNA UWEZO MDOGO SANA WA KUFIKIRI NATAKA NIKWAMBIE KWA KUKUELEKEZA.
mitihani mingi sana vyuoni na kokote haipimi kabisa uwezo wa kufikiri. inachopima ni uwezo wa kukariri kwa kiasi kikubwa maana maswali mengi ni direct questionsand if you know the procedures unakokotoa mpaka mwisho .
ukiwa na bidii ya kusoma na kukariri sana(kupiga msuri) unafaulu tu lakini haimaanishi una uwezo mkubwa wa kufikiri.
watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni wachache sana duniani tena kwetu ndio wachache kuliko kawaida.
wengi wana akili za kukariri kama ulivyokariri wewe kuwa uwezo wakufikiri ni marks.
ANGALAU MIDAHALO NA UCHAMBUZI UNAWEZA KUTUMIA KUPIMA UWEZO WA WATU KUFIKIRI.
kwa sababu ya uwezo wako mdogo wa kufikiri inabidi nitumie mifano rahisi na inayoeleweka.
tambua kuwa hakuna chuo chenye MAKAMPUNI.
kwa hiyo wanafunzi wote wa vyuo vyote wanafanya field na kuajiriwa baadae kwenye makampuni hayohayo.
sasa je ushasikiwa wapi wanafunzi wa st.Joseph wanalalamikiwa sana na kampuni kuwa hawafai kabisa lwenye hizo field kiasi hata cha kampuni hiyo kupiga marufuku kuwachukua kufanyia field hapo?
kama jibu ni ndio toa ushahidi hapa, kama jibu ni hapana ,jitathimini ubongo wako kama hauna hitilafu kwa sababu hata wanafunzi wa ud na udom wanafanya field kwenye makampuni hayahaya na makampuni haya ndiyo kipimo sahihi kwa kuwa yanafanya kazi na wanafunzi wa vyuo vyote.
pili. ajira zinapatikana kwenye makampuni hayahaya.
je kwa waliohitimu st.joseph na kuajiliwa ambao ni wengi sana, ushasikia report case ngapi kuwa wahitimu hao walishindwa kazi na kuondolewa kisa ni vilaza? nimetaka wingi utakaojustify madai yako.
inawezekana umesoma mazingira yanayofanana kuanzia O level mpaka Adance ndio maana unashindwa kujua kuwa ufaulu unatokana na sababu nyingi sana.
binafsi nimesoma both private(not just a private but a good school) and government(not just a government but a poor school)
kupitia mazingira haya naweza kuelewa ukweli kiasi kuhusu matokeo.
siyo kila mwenye marks nzuri ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
si kila mwenyemarks ndogo hana uwezo wa kufikiri.
wakati mwingine matokeo huathiriwa sana na mazingira ama aina ya shule mtu anayosoma.
MWISHO .
kwa kutambua uhalisia wa masomo ya sayansi kote duniani uliwekwa utaratibu wa mtu kusoma ENGINEERING LAZIMA AWE NA UFAULU FULANI . NAO NI 2.5 points kwa advance kama minimum qualification.
kwa maana nyingine wataalamu wa mambo ya engineering duniani wanakubaliana kwa kauli moja kuwa huyu mwenye 2.5 ana thinking capacity inayotosha kumfanya ayamudu masomo haya na si kuyamudu tu bali kuyafanyia kazi baada ya masomo.
ila kwa sababu ya uwezo kiduchu sana wa kufikiri ulo nao usingeweza kuliona hili na kama ingekuwa haiwezekani kwa mwenye 2.5 points kuwa qualified and trained engineer akafanya kazi vizuri basi wangebadili na kuweka minimum qualification hata ya 6 points.
taja mwalimu mmoja ambaye hajawahi kupractise proffessional yake wa udsm