St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

Watu mliosoma vyuo vkubwa hasa Udsm mnajfanyaga bab kubwa sana,ila kuna jamaa yenu mmoja hapa kazn alikuwa anajifanya mataw na BA yake ya computer c kakutana na kichwa kmoja kina adv dip toka DIT kafunikwa mbaya na ss anaripot kwa dogo,ninavyoona mimi kila chuo kina vchwa vkar watu wa wastan na vlaza
 
Waambie hawa vijana, siku hizi jina la chuo ulichosoma halikubebi, shughuli ipo kwenye kujijengea uwezo binafsi wa kufanya kazi.
 
umejitoa fahamu wewe lazima ni limbuke Wa udsm na ndio kwanza uko kwenye orientation week watu wenye akili hawadiscusss ujinga kama juju.

hujaelewa nilicho kijibu ktk hlo swali... kwa taarifa yako mimi sisomi UDSM na sijutii uamuzi wa kutosoma pale angali uwezo ninao na wala sisemi haya kwasababu nimekosa nafasi ya kusoma pale LA HASHA nikitaka hata kesho naweza kwenda pale... sipo hvyo unavyofikiria mkuu
 
Daaaa....kweli kufika chuo co kujua vitu watu humu ndani wanatema pumbaaa tupuuuuu....unanipa wakati mgumu sanaa kukutafakari ww ni mtu wa aina gani ambae unaona mtu ali feli necta ya 4m6 hawezi kufanya kitu kikubww....eti hawezi kuwa na high thnking capacity kweliiii na ww ni msomii.....mbona udsm walimchukua T.O yule wa 4m6 kamaliza tosamanga 2006 ELIASI na alipata A zote kwa PCM lakin kaishia wapi leo yupo tuuu kitaa ana pigana na wanafunziiii coz of dharau zake ambazo wengi wa UDSM wanazo...leo hii anazunguka kila shuleee sasa huyo utamfananisha na mtu wa vyuo vngne...

KUNA MWANDISHI KAANDIKA KITABU CHA DIPLOMATIC DISEASES" nafikiri kuna haja ya wasomi wengi kukisoma hcho kitabu na kukielewa halafu ndo mje kuchangia mada hapaaa....tatizo wengi humu ni MASHABIKI na hilo ndo tatizo kubwa MWANAUME WA KWELI SIMAMA WEWE KAMA WEWE USIFUATE MKUMBO....nani kasema ukipata A ya physics we ni kichwaaa? Mitihani yenyewe hii inavuja mwezi mmoja kablaaaa....wasimamizi wanasinzia chumba cha mtihani unafaulu kwa kuangalizia leo uje kutusumbua hapaaaa.....chuo weka one yako njeee ya geti na four yangu na weka nje ya geti den tuingie ndani tuone wat next.....daaaa

Sisi wa bongo bhna....hatutaki kutesa vichwa vyetu.....hakuna watu wanao aibika kitaa kama wa udsm hasa na tabia zao za kujikuta wakiwa chuo......roho mbayaa haijengi jamani.....kwa vile mwenzio ana E E F asiende chuo akati sifa anazo? Acheni roho mbayaaaaa kitu wanacho fanya st joseph nchi nying zilizo endelea ndo wana fanya hvyo....hujafikia vigezo fulani uwezo unao unapewa mtihani kusahihisha makosa.....na hcho tz lazima waje wakifanye miaka ya mbeleni...

Maada kam hzi ukiona mtu ana changia anashabikia tuuu hajui loloteeee
 
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..

kinakimbiza kwa nini funguka mkuu, labda kinakimbiza kwa kutumia hela za wanafunz kuendeshea mirad yao plus kukagua miandiko kwenye observation books utafikiri nursery
 
hujaelewa nilicho kijibu ktk hlo swali... kwa taarifa yako mimi sisomi UDSM na sijutii uamuzi wa kutosoma pale angali uwezo ninao na wala sisemi haya kwasababu nimekosa nafasi ya kusoma pale LA HASHA nikitaka hata kesho naweza kwenda pale... sipo hvyo unavyofikiria mkuu

ok mkuu kunajamaa hapo juu wanaboa kichizi ........sorry
 
Daaaa....kweli kufika chuo co kujua vitu watu humu ndani wanatema pumbaaa tupuuuuu....unanipa wakati mgumu sanaa kukutafakari ww ni mtu wa aina gani ambae unaona mtu ali feli necta ya 4m6 hawezi kufanya kitu kikubww....eti hawezi kuwa na high thnking capacity kweliiii na ww ni msomii.....mbona udsm walimchukua T.O yule wa 4m6 kamaliza tosamanga 2006 ELIASI na alipata A zote kwa PCM lakin kaishia wapi leo yupo tuuu kitaa ana pigana na wanafunziiii coz of dharau zake ambazo wengi wa UDSM wanazo...leo hii anazunguka kila shuleee sasa huyo utamfananisha na mtu wa vyuo vngne...

KUNA MWANDISHI KAANDIKA KITABU CHA DIPLOMATIC DISEASES" nafikiri kuna haja ya wasomi wengi kukisoma hcho kitabu na kukielewa halafu ndo mje kuchangia mada hapaaa....tatizo wengi humu ni MASHABIKI na hilo ndo tatizo kubwa MWANAUME WA KWELI SIMAMA WEWE KAMA WEWE USIFUATE MKUMBO....nani kasema ukipata A ya physics we ni kichwaaa? Mitihani yenyewe hii inavuja mwezi mmoja kablaaaa....wasimamizi wanasinzia chumba cha mtihani unafaulu kwa kuangalizia leo uje kutusumbua hapaaaa.....chuo weka one yako njeee ya geti na four yangu na weka nje ya geti den tuingie ndani tuone wat next.....daaaa

Sisi wa bongo bhna....hatutaki kutesa vichwa vyetu.....hakuna watu wanao aibika kitaa kama wa udsm hasa na tabia zao za kujikuta wakiwa chuo......roho mbayaa haijengi jamani.....kwa vile mwenzio ana E E F asiende chuo akati sifa anazo? Acheni roho mbayaaaaa kitu wanacho fanya st joseph nchi nying zilizo endelea ndo wana fanya hvyo....hujafikia vigezo fulani uwezo unao unapewa mtihani kusahihisha makosa.....na hcho tz lazima waje wakifanye miaka ya mbeleni...

Maada kam hzi ukiona mtu ana changia anashabikia tuuu hajui loloteeee

chukua like yangu mkuu.
 
ok mkuu kunajamaa hapo juu wanaboa kichizi ........sorry

mtu anaejisifia kusoma udsm au popote kisa kinatajwa ni chuo bora nchini ni ujinga kama kichwani huna kitu hata ungesoma mbinguni wewe ni bure tuu... na sijui watanzania tutaacha lini hii tabia... ok ucjali mkuu(about ur apology)
 
Daaaa....kweli kufika chuo co kujua vitu watu humu ndani wanatema pumbaaa tupuuuuu....unanipa wakati mgumu sanaa kukutafakari ww ni mtu wa aina gani ambae unaona mtu ali feli necta ya 4m6 hawezi kufanya kitu kikubww....eti hawezi kuwa na high thnking capacity kweliiii na ww ni msomii.....mbona udsm walimchukua T.O yule wa 4m6 kamaliza tosamanga 2006 ELIASI na alipata A zote kwa PCM lakin kaishia wapi leo yupo tuuu kitaa ana pigana na wanafunziiii coz of dharau zake ambazo wengi wa UDSM wanazo...leo hii anazunguka kila shuleee sasa huyo utamfananisha na mtu wa vyuo vngne...

KUNA MWANDISHI KAANDIKA KITABU CHA DIPLOMATIC DISEASES" nafikiri kuna haja ya wasomi wengi kukisoma hcho kitabu na kukielewa halafu ndo mje kuchangia mada hapaaa....tatizo wengi humu ni MASHABIKI na hilo ndo tatizo kubwa MWANAUME WA KWELI SIMAMA WEWE KAMA WEWE USIFUATE MKUMBO....nani kasema ukipata A ya physics we ni kichwaaa? Mitihani yenyewe hii inavuja mwezi mmoja kablaaaa....wasimamizi wanasinzia chumba cha mtihani unafaulu kwa kuangalizia leo uje kutusumbua hapaaaa.....chuo weka one yako njeee ya geti na four yangu na weka nje ya geti den tuingie ndani tuone wat next.....daaaa

Sisi wa bongo bhna....hatutaki kutesa vichwa vyetu.....hakuna watu wanao aibika kitaa kama wa udsm hasa na tabia zao za kujikuta wakiwa chuo......roho mbayaa haijengi jamani.....kwa vile mwenzio ana E E F asiende chuo akati sifa anazo? Acheni roho mbayaaaaa kitu wanacho fanya st joseph nchi nying zilizo endelea ndo wana fanya hvyo....hujafikia vigezo fulani uwezo unao unapewa mtihani kusahihisha makosa.....na hcho tz lazima waje wakifanye miaka ya mbeleni...

Maada kam hzi ukiona mtu ana changia anashabikia tuuu hajui loloteeee

umeandika maelezo marefu ila ni pumba tupu uliyoandika hapo....umekielewa nilichokiandika hapo juu..by the way sipo kwa ajili ya kushindanisha vyuo wala kujisifu nasoma chuo gani...kwanza ngoja nikuambie kitu sio kila mtu amezaliwa kuwa civil engineer..civil engineering ni fani ambayo iko very sensitive unapofanya one mistake madhara unazungumzia vifo vya wananchi..
unapokosea kudesign water suply jua kwamba effect yake itatokea zaid ya maelfu ya wakazi..
unapokesea kudesign reinforced structure madhara yake ni vifo vingi tu kwa binadamu...
kumchukua mtu kilaza kusoma hyo course ni kujiandalia kaburi sisi wenyewe wananchi..hao wahindi wapo kwa ajili ya maslahi ndo maana wanakwambia kila mtu anaweza kuwa engineer wakati cio kweli...lectures wengi wa st.jo wanatokaUDSM kama part time huko.na wengi wanaosoma huko st.john wanalipa zaid ya milion kwenye ada zao ikimaanisha kwamba wengi wao wamesoma shule nzuri za advance za kulipia na zenye mazingira mazuri lakini bado hawakufanya vzuri..huwezi kumkuta mtoto wa maskini huko st.jo
 
kumbe lile jengo la ghorofa 16 lililoanguka engineer wake alisoma st. joseph au?
 
Sasa ww tukuelewe vp kama wapo malecture wanaenda st joseph kupiga pnd unamtofautisha vp mtu wa st joseph na udsm

Kikubwa ni kwamba akili yako bado haijakuwa una dhana ile ya kuwa alie feli form six hana akili hebu futa dhana hyo harafu uje hapa tujadili kwa hoja kama bado una dhna kwamba alie pata F ya phsysics ni kilaza basi huwezi sema point kamwe

Ndo maana nimekwambia tafuta hicho kitabu cha DIPLOMATIC DISEASE usome afu ujeee
 
Huweziii tofautishaaa akili za watu kwa mtihani....TANZANIA mtu alie shindwa kujibu urefu wa malkia wa uingereza ni futi ngapi anaonekana hana akili...na alie kariri urefu wa malkia wa uingereza mtaani anaonekana kichwa huwezi tofautisha watu hao kwa hvyo kama mtaani na serikali inavyofanya......mtu ambae kwenye mtihani kaweza kujibu swali mlima,wa Kilimanjaro una urefu gani anaonekana ana akili kuliko yule asie jua urefu wa mlima Kilimanjaro...daaaaa kazi kweli tafakari chukua hatua
 
Watu mliosoma vyuo vkubwa hasa Udsm mnajfanyaga bab kubwa sana,ila kuna jamaa yenu mmoja hapa kazn alikuwa anajifanya mataw na BA yake ya computer c kakutana na kichwa kmoja kina adv dip toka DIT kafunikwa mbaya na ss anaripot kwa dogo,ninavyoona mimi kila chuo kina vchwa vkar watu wa wastan na vlaza
Kweli kabisa
 
Waambie hawa vijana, siku hizi jina la chuo ulichosoma halikubebi, shughuli ipo kwenye kujijengea uwezo binafsi wa kufanya kazi.

Haswa!!!
Pia ishu si unaingiaje bali unatokaje.
 
Nasikitika sana...amjui ya kuwa ukiongelea engeneering universities st.joseph ni moja ya vizuri xana in east africa...
 
Nan kawadanganya vjana....hauwezi kusema quality engeeneer anatoka coet hata cku moja..
 
Nasikitika sana...amjui ya kuwa ukiongelea engeneering universities st.joseph ni moja ya vizuri xana in east africa...

jifunze kwanza kuandika alafu ndo uje kuchangia humu..amjui,engeneering,xana..rekebisha kwanza hayo
 
mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity..sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking cappacity kulinganisha na aliyefaulu vzuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri

kwanza wewe utakuwa hujasoma na kama umesoma unawezo mdogo sana wa kufikiria.

kabla sijasema chochote. mtu yeyote aliyesoma O level ,akaenda Advance na baadae chuo anaweza kufanya analysis kwa wanafunzi waliosoma shule moja O level, wakasoma Combination moja Advance na Course sawa chuo.

si kweli kuwa kila aliyeonekana mzuri O level kushinda wenzake ataendelea kuwa juu kwa kila matokeo na kama ikitokea ni kwa wachache sana. mara nyingi matokeo hubadilika sana na huo sio ukilaza wala thinking capacity kwa kuwa thinking capacity tunazaliwa nayo. kifupi hapa nilitaka nikwambie kuwa THINKING CAPACIY HAIJAWAHI KUPIMWA KWA MTIHANI NA HAKUNA KIPIMO HICHO.

KAMA WANGETUMIA MTIHANI KUPIMA BASI WAGUNDUZI WOTE WAKUBWA DUNIANI WANGEKUWA NDIO WALE WANAO-ONGOZA DARASANI AMA MAPROFESA WALIOFAULU KWA MARKS ZA JUU SANA LAKINI UKWELI SI HUO,

HATA STIVE JOBS ALIKUWA NA HIGH THINKING CAPACITY KUSHINDA WATU WOTE DUNIANI KWENYE JAMBO ALILOLIDUNGUA WAKIWEMO HAO MAPROFESA NA WALIOFAULU SANA HUKU YEYE HAKUWA HATA NA DIPLOMA.

ILA KWA SABABU WEWE UNA UWEZO MDOGO SANA WA KUFIKIRI NATAKA NIKWAMBIE KWA KUKUELEKEZA.

mitihani mingi sana vyuoni na kokote haipimi kabisa uwezo wa kufikiri. inachopima ni uwezo wa kukariri kwa kiasi kikubwa maana maswali mengi ni direct questionsand if you know the procedures unakokotoa mpaka mwisho .

ukiwa na bidii ya kusoma na kukariri sana(kupiga msuri) unafaulu tu lakini haimaanishi una uwezo mkubwa wa kufikiri.

watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni wachache sana duniani tena kwetu ndio wachache kuliko kawaida.

wengi wana akili za kukariri kama ulivyokariri wewe kuwa uwezo wakufikiri ni marks.

ANGALAU MIDAHALO NA UCHAMBUZI UNAWEZA KUTUMIA KUPIMA UWEZO WA WATU KUFIKIRI.

mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity

kwa sababu ya uwezo wako mdogo wa kufikiri inabidi nitumie mifano rahisi na inayoeleweka.

tambua kuwa hakuna chuo chenye MAKAMPUNI.

kwa hiyo wanafunzi wote wa vyuo vyote wanafanya field na kuajiriwa baadae kwenye makampuni hayohayo.

sasa je ushasikiwa wapi wanafunzi wa st.Joseph wanalalamikiwa sana na kampuni kuwa hawafai kabisa lwenye hizo field kiasi hata cha kampuni hiyo kupiga marufuku kuwachukua kufanyia field hapo?

kama jibu ni ndio toa ushahidi hapa, kama jibu ni hapana ,jitathimini ubongo wako kama hauna hitilafu kwa sababu hata wanafunzi wa ud na udom wanafanya field kwenye makampuni hayahaya na makampuni haya ndiyo kipimo sahihi kwa kuwa yanafanya kazi na wanafunzi wa vyuo vyote.

pili. ajira zinapatikana kwenye makampuni hayahaya.

je kwa waliohitimu st.joseph na kuajiliwa ambao ni wengi sana, ushasikia report case ngapi kuwa wahitimu hao walishindwa kazi na kuondolewa kisa ni vilaza? nimetaka wingi utakaojustify madai yako.

sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking capacity kulinganisha na aliyefaulu vizuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri
inawezekana umesoma mazingira yanayofanana kuanzia O level mpaka Adance ndio maana unashindwa kujua kuwa ufaulu unatokana na sababu nyingi sana.

binafsi nimesoma both private(not just a private but a good school) and government(not just a government but a poor school)

kupitia mazingira haya naweza kuelewa ukweli kiasi kuhusu matokeo.
siyo kila mwenye marks nzuri ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

si kila mwenyemarks ndogo hana uwezo wa kufikiri.

wakati mwingine matokeo huathiriwa sana na mazingira ama aina ya shule mtu anayosoma.

MWISHO .

kwa kutambua uhalisia wa masomo ya sayansi kote duniani uliwekwa utaratibu wa mtu kusoma ENGINEERING LAZIMA AWE NA UFAULU FULANI . NAO NI 2.5 points kwa advance kama minimum qualification.

kwa maana nyingine wataalamu wa mambo ya engineering duniani wanakubaliana kwa kauli moja kuwa huyu mwenye 2.5 ana thinking capacity inayotosha kumfanya ayamudu masomo haya na si kuyamudu tu bali kuyafanyia kazi baada ya masomo.

ila kwa sababu ya uwezo kiduchu sana wa kufikiri ulo nao usingeweza kuliona hili na kama ingekuwa haiwezekani kwa mwenye 2.5 points kuwa qualified and trained engineer akafanya kazi vizuri basi wangebadili na kuweka minimum qualification hata ya 6 points.
 
kwanza wewe utakuwa hujasoma na kama umesoma unawezo mdogo sana wa kufikiria.

kabla sijasema chochote. mtu yeyote aliyesoma O level ,akaenda Advance na baadae chuo anaweza kufanya analysis kwa wanafunzi waliosoma shule moja O level, wakasoma Combination moja Advance na Course sawa chuo.

si kweli kuwa kila aliyeonekana mzuri O level kushinda wenzake ataendelea kuwa juu kwa kila matokeo na kama ikitokea ni kwa wachache sana. mara nyingi matokeo hubadilika sana na huo sio ukilaza wala thinking capacity kwa kuwa thinking capacity tunazaliwa nayo. kifupi hapa nilitaka nikwambie kuwa THINKING CAPACIY HAIJAWAHI KUPIMWA KWA MTIHANI NA HAKUNA KIPIMO HICHO.

KAMA WANGETUMIA MTIHANI KUPIMA BASI WAGUNDUZI WOTE WAKUBWA DUNIANI WANGEKUWA NDIO WALE WANAO-ONGOZA DARASANI AMA MAPROFESA WALIOFAULU KWA MARKS ZA JUU SANA LAKINI UKWELI SI HUO,

HATA STIVE JOBS ALIKUWA NA HIGH THINKING CAPACITY KUSHINDA WATU WOTE DUNIANI KWENYE JAMBO ALILOLIDUNGUA WAKIWEMO HAO MAPROFESA NA WALIOFAULU SANA HUKU YEYE HAKUWA HATA NA DIPLOMA.

ILA KWA SABABU WEWE UNA UWEZO MDOGO SANA WA KUFIKIRI NATAKA NIKWAMBIE KWA KUKUELEKEZA.

mitihani mingi sana vyuoni na kokote haipimi kabisa uwezo wa kufikiri. inachopima ni uwezo wa kukariri kwa kiasi kikubwa maana maswali mengi ni direct questionsand if you know the procedures unakokotoa mpaka mwisho .

ukiwa na bidii ya kusoma na kukariri sana(kupiga msuri) unafaulu tu lakini haimaanishi una uwezo mkubwa wa kufikiri.

watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni wachache sana duniani tena kwetu ndio wachache kuliko kawaida.

wengi wana akili za kukariri kama ulivyokariri wewe kuwa uwezo wakufikiri ni marks.

ANGALAU MIDAHALO NA UCHAMBUZI UNAWEZA KUTUMIA KUPIMA UWEZO WA WATU KUFIKIRI.

kwa sababu ya uwezo wako mdogo wa kufikiri inabidi nitumie mifano rahisi na inayoeleweka.

tambua kuwa hakuna chuo chenye MAKAMPUNI.

kwa hiyo wanafunzi wote wa vyuo vyote wanafanya field na kuajiriwa baadae kwenye makampuni hayohayo.

sasa je ushasikiwa wapi wanafunzi wa st.Joseph wanalalamikiwa sana na kampuni kuwa hawafai kabisa lwenye hizo field kiasi hata cha kampuni hiyo kupiga marufuku kuwachukua kufanyia field hapo?

kama jibu ni ndio toa ushahidi hapa, kama jibu ni hapana ,jitathimini ubongo wako kama hauna hitilafu kwa sababu hata wanafunzi wa ud na udom wanafanya field kwenye makampuni hayahaya na makampuni haya ndiyo kipimo sahihi kwa kuwa yanafanya kazi na wanafunzi wa vyuo vyote.

pili. ajira zinapatikana kwenye makampuni hayahaya.

je kwa waliohitimu st.joseph na kuajiliwa ambao ni wengi sana, ushasikia report case ngapi kuwa wahitimu hao walishindwa kazi na kuondolewa kisa ni vilaza? nimetaka wingi utakaojustify madai yako.

inawezekana umesoma mazingira yanayofanana kuanzia O level mpaka Adance ndio maana unashindwa kujua kuwa ufaulu unatokana na sababu nyingi sana.

binafsi nimesoma both private(not just a private but a good school) and government(not just a government but a poor school)

kupitia mazingira haya naweza kuelewa ukweli kiasi kuhusu matokeo.
siyo kila mwenye marks nzuri ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

si kila mwenyemarks ndogo hana uwezo wa kufikiri.

wakati mwingine matokeo huathiriwa sana na mazingira ama aina ya shule mtu anayosoma.

MWISHO .

kwa kutambua uhalisia wa masomo ya sayansi kote duniani uliwekwa utaratibu wa mtu kusoma ENGINEERING LAZIMA AWE NA UFAULU FULANI . NAO NI 2.5 points kwa advance kama minimum qualification.

kwa maana nyingine wataalamu wa mambo ya engineering duniani wanakubaliana kwa kauli moja kuwa huyu mwenye 2.5 ana thinking capacity inayotosha kumfanya ayamudu masomo haya na si kuyamudu tu bali kuyafanyia kazi baada ya masomo.

ila kwa sababu ya uwezo kiduchu sana wa kufikiri ulo nao usingeweza kuliona hili na kama ingekuwa haiwezekani kwa mwenye 2.5 points kuwa qualified and trained engineer akafanya kazi vizuri basi wangebadili na kuweka minimum qualification hata ya 6 points.

umeandika maelezo mengi sana,,ambayo kifupi una hoja nyepesi.....umeandika maneno mengi ili uonekane kwamba umeongea kitu lakin hamna ulichokiandika..
1.wew unakubaliana na mtu aliyepata F ya physics aende kusoma civil engineering mana ndio hoja ilyopo mezani hapa..tukiendelea kwa mfumo huu tutakuja hata siku moja kudahili mwanafunzi wa MD ana F ya biology..
2.mtihani ndio kipimo kinachotumika kupima uelewa wa mtu kwa kipindi hiki..kama unaona hakifai tupe kipimo chako wew..
 
taja mwalimu mmoja ambaye hajawahi kupractise proffessional yake wa udsm

tatizo ndio hilihili la kukariri, hii nchi haina viwanda na field nyingi za uhandisi ni service jobs(HUDUMA NA SI UHANDISI), hatuna professional engineering projects nchi hii ambapo ma-engineer wanaweza kwenda kupractise profesional yao zaidi ya kufanya service jobs(kutoa huduma). mathalani, katika nchi yenye ma-engineer wa electronics huku haina hata kiwanda kimoja cha electronics toka UHURU unategemea hao maprofesa waliwahi kufanya wapi field work za u-engineer wa mambo ya electronics kama akili zako ziko timamu?

hao ma-engineer wote wanaajiriwa kufanya control za mitambo ya electronic iliyokwisha tengenezwa tayari na hata ukiharibika ndo majanga yanaanzia hapo. wataalamu wetu wanafanya kazi ya HUDUMA/SERVICE(mfano mambo ya switch) just triggering something huku ukijiita ni engineer(hakuna tofauti na mtoto anaetumia remote kucontrol TV yake ama game)

ma-engineer pekee ambao naweza kusema wana unafuu na hata ma-profesa wao kwenye kupractise kazi halisi za uinjinia ni mainjia wa civil.

NISIONDOKE BILA KUTOA MFANO.

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA NI MTAALAM WA NYUKILIA NA ALIKUWA LECTURER PALE UDSM AKIFUNDISHA HESABU KAMA SIKOSEI.

JE UNAWEZA KUNIAMBIA GALIB BILALI ALIWAHI KUFANYA KAZI KATIKA KIWANDA KIPI CHA NYUKILIA HAPA TANZANIA? MAANA HIYO NDIO PROFESION YAKE ALIYOTAKIWA KUIPRACTISE

huo ni mfano mmoja kukuonyesha kuwa pamoja na kujiita wewe una high thinking capacity but you don't know all these mpaka unauliza uambiwe.

Na wapo lundo hawajawahi kabisa kufanyia kazi profesion zao kama jamaa alivyokwambia
 
Back
Top Bottom