St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

Naomba nikusahihishe kidogo: Huwezi kugundua gari. Utakuwa umechanganya "invention" na "discovery". They may have invented but not discovered an electric car.
kuna maneno matatu. Innovation, Invention and discovery.

lakini kuna utata mkubwa kwenye tafisiri ya maneno haya kutoka kiingereza kuja kiswahili. pia kutoka kiswahili kwenda kiingereza.

kwa kiingereza inaeleweka vyema kuwa ama invention ama innovation. na discovery inahusiana na vitu ambavyo vipo ila havikuwa vinajulikana ama kufahamika kabisa ama vinafahamika kwa wachache.

kwa kuwa katumia kiswahili.

KUGUNDUA. mimi nadhani tuangalie maana ya KUGUNDUA NI IPI, SITAKI TAFISIRI. PIA TUANGALIE MAANA YA KUVUMBUA NI IPI.

nashawika kusema kugundua ndio INNOVATE/INVENT

na kuvumbua ndio DISCOVER.

lakini kuna utata mkubwa kwenye dictionary ya TUKI ambayo sasa ni TATAKI. nashawishika kuamini kuwa kuvumbua ni sawa na kuibua kitu ambacho kilikuwepo ama kimejificha na sasa kinaonekana ama kujulikana.

kugundua nashawishika kuamini kuwa ni KUBUNI JAMBO JIPYA LIKAFANYIKA AMA LIKAONEKANA.


nataka mwenye kamusi ya kiswahili atuwekee maana ya maneno haya tuchambue na kupata mwafaka maana tayari kuna utata.
 

Yaaan niksoma mtirirko wako adi naskia raha.mkuu umeandika point tupu.yaan kuna watunwanamawazo mgando adi wanatia kichefuchefu alafu ndio wanajiita wasomi!!yaaan wapowapo tu.story za vijiweni znawafanya vipofu na znawatoa ufahamu.hasa jinga jinga ulokua unalijibu.kuna mda adi najihulizaga huyu shule anasomaje kama ana akili ndogo hivibza kawaida,za darasanibsasa zikoje??hataki kujifunza,kushauriwa,wala kujifunza.yaan adi kuna mda natamani kulia.maana nikipga picha huyu ndio siku atakuja kua engineer atakuwaje??nahisi ni pia wale wenye fikra kua engender lazima uwe chapooomb
 
St.Joseph University is the best aiseee hata kwenye idara za serikali sisemi uongo tumejazana mpaka shida sasa hapo wewe unasemaje kuwa hatupo competent usiseme hivyo kijana wewe soma then utakutana na product ya hao uliowapita na abc zako za advance wakuonyeshe kuwa advance is just a bridge
 

mhh ww umepotea mwenye uwezo mdogo darasan lazima atakuwa na uwezo mdogo kwenye fani, auwezi niambia kwamba m2 mwenye A ya physics alingane na mtu mwenye E ya physics.

something blind bind in ur mind make it kind
 

Tafuta data kwanza.. Hujawahi kusikia TO wa form 6 kadisco chuo..?
It doesn't matter how U initialize the race but how you finalize it..
Never jeopadize ur career.!!stick on ur individual excellency otherwise U'll end up being futile...
 
mhh ww umepotea mwenye uwezo mdogo darasan lazima atakuwa na uwezo mdogo kwenye fani, auwezi niambia kwamba m2 mwenye A ya physics alingane na mtu mwenye E ya physics.

something blind bind in ur mind make it kind

huyo mwenye A ya physics alisoma advance au hiyo fani mpaka useme ana uwezo wa kufikiri kuliko mwenye E?? kumbuka wote wamekwenda kuanza upya masomo kama walivyotoka O level kwenda A level.. wangapi wametoka O level na div 1 Advance wakapata 0? na wangapi wamekwenda advance na point za kuunga unga na wamepata point nzuri mwisho wa siku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…