St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

Naomba nikusahihishe kidogo: Huwezi kugundua gari. Utakuwa umechanganya "invention" na "discovery". They may have invented but not discovered an electric car.
kuna maneno matatu. Innovation, Invention and discovery.

lakini kuna utata mkubwa kwenye tafisiri ya maneno haya kutoka kiingereza kuja kiswahili. pia kutoka kiswahili kwenda kiingereza.

kwa kiingereza inaeleweka vyema kuwa ama invention ama innovation. na discovery inahusiana na vitu ambavyo vipo ila havikuwa vinajulikana ama kufahamika kabisa ama vinafahamika kwa wachache.

kwa kuwa katumia kiswahili.

KUGUNDUA. mimi nadhani tuangalie maana ya KUGUNDUA NI IPI, SITAKI TAFISIRI. PIA TUANGALIE MAANA YA KUVUMBUA NI IPI.

nashawika kusema kugundua ndio INNOVATE/INVENT

na kuvumbua ndio DISCOVER.

lakini kuna utata mkubwa kwenye dictionary ya TUKI ambayo sasa ni TATAKI. nashawishika kuamini kuwa kuvumbua ni sawa na kuibua kitu ambacho kilikuwepo ama kimejificha na sasa kinaonekana ama kujulikana.

kugundua nashawishika kuamini kuwa ni KUBUNI JAMBO JIPYA LIKAFANYIKA AMA LIKAONEKANA.


nataka mwenye kamusi ya kiswahili atuwekee maana ya maneno haya tuchambue na kupata mwafaka maana tayari kuna utata.
 
mwenye tatizo ni wewe kujitia unajua huku huelewi na jeuri yako ya kudharau vyuo.

ngoja nikuwekee mtiririko wote alafu uone ujinga wako.

hii hapa chini ndio mada.



hii mada ukiisoma na kuielewa inaongela faculty za engineering ila mtoa mada katoa mifano kwa kozi chache ila lengo lake ni kozi zote.

kwa kifupi hii si mada ya civil engineering pekee



haya ndio majibu ya mtu alyejibu mada. na majibu haya hayakulenga kabisa CIVIL ENGINEERING.



haya ndio majibu yako kwa mtu aliyejibu kuwa mwisho wa siku tukutane kazini.

ukiyaangalia majibu yako ukajielekeza kwenye CIVIL ENGINEERING. hapa ndio ujinga wako unaanzia. wewe ndio hukusoma mtiririko wa mada. ukaibadili iwe ya civil engineering pekee alafu unatuambia tusome mtiririko wa mada

sisi tunatoa mfano wowote ili mradi uwe ni wa uinjinia lakini mfano huo hauwezi kubalili mada wala majibu ya mtu.

WEWE NDIO HUKUELEWA ULICHOPASWA KUFANYA NA UNAJITIA AKILI KUMBE NI BICHWA MAJI KWENYE KUJENGA HOJA.






huyu mtu akaja akajibu kujibu mada kuu.

haya majibu yake hayakuhusu civil engineering. yalihusu fani za uinjinia kwa ujumla wake na hao walimu ama wakufunzi hakuwataja kuwa ni wa civil engineering.

sasa wewe unapata wapi hoja kuwa the discusion is/was all about civil engineering?

nachojua mimi wewe ulitoa majibu katika sehemu uliyo na uelewa nayo lakini huwezi kuzuia wachangiaji kukupa mifano inayojulikana na haina ubishi kwenye hoja kuu iliyokuwa inahusu walimu ama ma-lecturer kutofanyia kazi fani zao.

majibu yangu yalitoa mfano wa Galib bilali kama mtaalam wa nyukilia na alikuwa anafundisha pale lakini hakuwahi kuifanya kazi kwenye kiwanda chochote faani yake.

na niko sahihi na nilikuwa sahihi kwa kuwa hoja ya ma-lecturer iliwalenga wote na hakusema kuwa ni wa civil pekee ila kwa ujinga wako unataka iwe ni civil pekee





haya ndio yalikuwa majibu yako kwa hoja ya jamaa pale juu.

mimi nimekupa huo mfano badala yake.

hapa hukutaja kabisa CIVIL ENGINEERING NA MTIRIRIKO WA SWALI LAKO ULIHUSU MTU ALIYECHANGIA KWENYE MADA KUU/TOPIC ON TOP KWA KUSEMA MA-LECTURER HAWA-PRACTISE FANI ZAO , UKIANGALIA KWA MAKINI HUYU MTU HAKUKUJIBU WEWE ILA ALIMJIBU MTOA MADA NA WEWE UKAAMUA KUMJIBU NA KATIKA SWALI LAKO NA HATA MAELEZO YA JAMAA HAKUNA SEHEMU YOYOTE INAONYESHA MLIKUWA MNAJADILI CIVIL ENGINEER. maelezo ya civil engineer uliyaingiza ulipokuwa unamjibu mtu aliyesema MWISHO MKUTANE KAZINI AMBAYE NI MWINGINE KABISA NA HAKUKUJIBU TENA ULIPOMJIBU NA MAMBO YA CIVIL ENGINEER SIJUI ANAHITAJI THINKING KUBWA.

HAPA UMEONYESHA KIWANGO CHA HALI YA JUU CHA UJINGA NA KAMA UNABISHA NIONYESHE HUO MTIRIRIKO UKO WAPI WA MAMBO YA CIVIL ENGINEERING.

dogo be smart as there are more smart guys who never touched UDSM as you prove low thinking capacity.

natamani ungekutana na mimi ndio ungejua how smart i am japo nimesoma katika chuo kisicho na jina.

dogo acha dharau UBONGO TUMEZALIWA NAO NA HAUPATIKANI MLIMANI COET.


hawa ndio wanafunzi mnajiita mna high thinking capacity.

kwa taarifa yako i have several times seen udsm students underperforming in different areas. lakini siwezi kulaumu chuo bali ndio uwezo wao.

Yaaan niksoma mtirirko wako adi naskia raha.mkuu umeandika point tupu.yaan kuna watunwanamawazo mgando adi wanatia kichefuchefu alafu ndio wanajiita wasomi!!yaaan wapowapo tu.story za vijiweni znawafanya vipofu na znawatoa ufahamu.hasa jinga jinga ulokua unalijibu.kuna mda adi najihulizaga huyu shule anasomaje kama ana akili ndogo hivibza kawaida,za darasanibsasa zikoje??hataki kujifunza,kushauriwa,wala kujifunza.yaan adi kuna mda natamani kulia.maana nikipga picha huyu ndio siku atakuja kua engineer atakuwaje??nahisi ni pia wale wenye fikra kua engender lazima uwe chapooomb
 
St.Joseph University is the best aiseee hata kwenye idara za serikali sisemi uongo tumejazana mpaka shida sasa hapo wewe unasemaje kuwa hatupo competent usiseme hivyo kijana wewe soma then utakutana na product ya hao uliowapita na abc zako za advance wakuonyeshe kuwa advance is just a bridge
 
St.Joseph University is the best aiseee hata kwenye idara za serikali sisemi uongo tumejazana mpaka shida sasa hapo wewe unasemaje kuwa hatupo competent usiseme hivyo kijana wewe soma then utakutana na product ya hao uliowapita na abc zako za advance wakuonyeshe kuwa advance is just a bridge

mhh ww umepotea mwenye uwezo mdogo darasan lazima atakuwa na uwezo mdogo kwenye fani, auwezi niambia kwamba m2 mwenye A ya physics alingane na mtu mwenye E ya physics.

something blind bind in ur mind make it kind
 
Unakuta mtu ana FEE , katika PCM anaenda kusomea civil au electrical. Hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunzi wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu

CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

Tafuta data kwanza.. Hujawahi kusikia TO wa form 6 kadisco chuo..?
It doesn't matter how U initialize the race but how you finalize it..
Never jeopadize ur career.!!stick on ur individual excellency otherwise U'll end up being futile...
 
mhh ww umepotea mwenye uwezo mdogo darasan lazima atakuwa na uwezo mdogo kwenye fani, auwezi niambia kwamba m2 mwenye A ya physics alingane na mtu mwenye E ya physics.

something blind bind in ur mind make it kind

huyo mwenye A ya physics alisoma advance au hiyo fani mpaka useme ana uwezo wa kufikiri kuliko mwenye E?? kumbuka wote wamekwenda kuanza upya masomo kama walivyotoka O level kwenda A level.. wangapi wametoka O level na div 1 Advance wakapata 0? na wangapi wamekwenda advance na point za kuunga unga na wamepata point nzuri mwisho wa siku??
 
Back
Top Bottom