Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
kuna maneno matatu. Innovation, Invention and discovery.Naomba nikusahihishe kidogo: Huwezi kugundua gari. Utakuwa umechanganya "invention" na "discovery". They may have invented but not discovered an electric car.
lakini kuna utata mkubwa kwenye tafisiri ya maneno haya kutoka kiingereza kuja kiswahili. pia kutoka kiswahili kwenda kiingereza.
kwa kiingereza inaeleweka vyema kuwa ama invention ama innovation. na discovery inahusiana na vitu ambavyo vipo ila havikuwa vinajulikana ama kufahamika kabisa ama vinafahamika kwa wachache.
kwa kuwa katumia kiswahili.
KUGUNDUA. mimi nadhani tuangalie maana ya KUGUNDUA NI IPI, SITAKI TAFISIRI. PIA TUANGALIE MAANA YA KUVUMBUA NI IPI.
nashawika kusema kugundua ndio INNOVATE/INVENT
na kuvumbua ndio DISCOVER.
lakini kuna utata mkubwa kwenye dictionary ya TUKI ambayo sasa ni TATAKI. nashawishika kuamini kuwa kuvumbua ni sawa na kuibua kitu ambacho kilikuwepo ama kimejificha na sasa kinaonekana ama kujulikana.
kugundua nashawishika kuamini kuwa ni KUBUNI JAMBO JIPYA LIKAFANYIKA AMA LIKAONEKANA.
nataka mwenye kamusi ya kiswahili atuwekee maana ya maneno haya tuchambue na kupata mwafaka maana tayari kuna utata.