St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

mwisho wa siku tukutane kazini!

mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity..sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking cappacity kulinganisha na aliyefaulu vzuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri
 
Ndio maana hata hao walimu wa udsm utakuta ana masters au phd ya engineering lakin hajawahi ata kufanya kaz ktk prfesional yake na anakwambia anauzoefu wa kufundisha, elimu ya chuo kikuu na kuweza kutumia maarifa na ujuzi katika kuzalisha na sio kupata A ya physics tubadilike st joseph iwe mfano wa kuigwa,tunafanya interview na hao udsm graduates wanashindwa vtu vdogo mpaka unawaonea huruma

taja mwalimu mmoja ambaye hajawahi kupractise proffessional yake wa udsm
 
UnapozungumZia CoET pale ndipo ma engineer quality wanatoka huku cjui st joseph,udom ,saut, kiu na kwngineko wanazalisha poor engineers ndo hao kla cku watu wanawalalamikia
 
St.joseph ni offspring ya vyuo mbuzi nchini kama teku,kampala,sua etc.... in shortly vijana wanaosoma huko hawajitambui wao na future zao.
 
Kupata f ya physics sio kigezo cha kushindwa kusoma civil eng!

Mhh! Mkuu ukizungumzia engineer haswa civil hapo physics n math's lazma iwepo,kama mganga wa kienyeji na mashetani/majini,soma vzuri history of civil engineering ingia wikipedia,
 
mkuu huku ni kujidanganya civil engineering is all about designing.ukiondoa unachofundishwa darasani lazima ufanye engineering judgement na engineering judgement lazima uwe na high thinking cappacity..sasa huyo mtu aliyepata f au E form six na anaufulu hafifu form four unafikri anaweza akawa na high thinking cappacity kulinganisha na aliyefaulu vzuri.huyu mtu mwenye ufaulu hafifu hata kama atafundishwa vizuri chuo atakosa ile thinking na engineering judgement ambayo inatokana na kuwa na kichwa kizuri

Vipi kuhusu mtu aliyepata ufaulu mdogo Form 6 kwa bahati mbaya lakini ana uwezo mkubwa?
 
Vipi kuhusu mtu aliyepata ufaulu mdogo Form 6 kwa bahati mbaya lakini ana uwezo mkubwa?

Mazoea hujenga tabia,mitanzania inaishi kwa mazoea! Chenge kasoma Havard je kuna lolote kubwa ambalo amelifanya?
 
Kitu ambacho hadi wa leo wanataaluma kinawaumiza kichwa na wameshindwa kujibu swali kama kweli Mtihani ni kipimo sahihi cha uelewa wa mtu? Hilo hadi wa leo ni utata. Sababu mtu kushindwa au kushinda mtihani wa mwisho zipo sababu nyingi sana ambazo hupelekea matokeo hayo. Na uhalali wa ufaulu au kufeli kwa mtu bado napo ni tatizo wapo wanaofaulu ila kwa njia za panya na wapo wanaofaaulu ki halali wapo wanaofelishwa wapo wanaofeli kihalali. Swali lina je mtihani ni kipimo sahihi cha kupima uelewa wa mtu?
 
umenena vyema mkuu.. ndio maana kuna T.O alidisco chuo kikuu lakini wale wenye ufaulu wa chini wamepita na wapo kazini..
 
St.joseph ni offspring ya vyuo mbuzi nchini kama teku,kampala,sua etc.... in shortly vijana wanaosoma huko hawajitambui wao na future zao.

wewe ni bubu taja course moja ya sua ambayo inafundishwa udsm Mb.zi wewe !!!!kuandika ujinga bila utafakali ni hatari sana unashindwa kutofautisha udsm na sua that why tunasema ninyi ni mburuziiiiiii.
 
COET unafananisha na StJU wakupime wewe

umburula wenu huo unafananishaje sua na usdm prof gani ?wa udsm anaweza kufundisha sua ??????. sua inatoa faculties ambazo huwezi zipata usdm sasa huo ufanano mnautoa wapi?
kusoma udsm ni swala dogo ukilinganisha na reality ya maisha mataani untakiwa kutambua kuwa kupata utendaji bora haupimwi kwa ufaulu mkubwa .
 
Mhh! Mkuu ukizungumzia engineer haswa civil hapo physics n math's lazma iwepo,kama mganga wa kienyeji na mashetani/majini,soma vzuri history of civil engineering ingia wikipedia,

wangapi? ni ma engineer lakin wana E za mathematics wewe?mbona mnatumia akili za kuanzima
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

kaaa mpembe mbona huzungumuzi kuwa BRN Mpewa division one za bure vilaza nyie
 
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..

St. Joseph inakimbizaje sasa?? kutoa wataalamu bora zaidi, au kudahili wanafunzi wengi zaidi au kutoa GPA kuanzia 4.1 na kuendelea?
 
Back
Top Bottom