St. Joseph University, mnawaumiza wanafunzi wenu

St. Joseph University, mnawaumiza wanafunzi wenu

Joined
Aug 6, 2014
Posts
87
Reaction score
14
Inashangaza na kusikitisha sana kwa unyama wanaofanyiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha st. Joseph, kwan chuo kilifunguliwa tar 15/10 mwaka huu kwa first year, ambapo watu wanaosoma hapo wametoka mikoa mbalimbali TZ na wengi wao wamepata mikopo kutoka HESLB, but cha kushangazampaka muda huu hawajapewa boom lao.

Wanafunzi wana hali mbaya sana ambapo ukiwaona utawaonea huruma kwan inafika kipindi mtu hata assignment hafanyi kwan hana ream papers, pia wengi hula mlo mmoja kwa masaa 24 na wakat wengne hata huo mlo mmoja hana.

Ifike nahali uongozi wa chuo hiki uwe na ubinadamu, wasing'ang'anie kupata faida kwa hela zisizo za kwao. Ushauri wenu wadau ni wa mhimu sana juu ya kipi wanafunzi wafanye kwan mpaka wanafunzi wengine wamefikia uamzi wa kuahirisha mwaka.
 
Mwakajana niliamua kuwaachia lichuo lao baada ya kuona mambo yanaenda sivyo.... if u want to believe my admission # was 13173053058 EEE.
 
mwakajana niliamua kuwaachia lichuo lao baada ya kuona mambo yanaenda sivyo.... if u want to believe my admission # was 13173053058 EEE.

pole sana, sasa ulivyoacha hukuendelea na masomo? harafu hata fununu za kupewa boom sizioni
 
Sio hilo tuu Arusha campus vijana takribani 40 wamefukuzwa kwa madai ya kuwa na low attendence japo hawakusap wala ku carry
 
Dah hicho chuo duh, naskia campus ya arusha vijana wapatao 40 wamefukuzwa kwa madai kuwa wana low % of attendence
 
Hatutangaz kwa mabay ila taalum inayotolwa ni mbovu, of low quality, wanaofundisha hawan taaluma za kutosha na uongoz wa chuo unawabn wanafunz km watoto wa primary
 
Nyieee ma form 6 failures tumewachoka kilasikuu nyinyi tuuu achenii hizoo bhana mnakua kawatoto wadogo si humu jamii forum tuwatolee maamuzi auu??!! Nawashaurii achenii chuo muapply upya muonee kazi kupata chuo na marks zenu za BRN
 
sawa mkuu naona umetuamulia hasa
 
Nyieee ma form 6 failures tumewachoka kilasikuu nyinyi tuuu achenii hizoo bhana mnakua kawatoto wadogo si humu jamii forum tuwatolee maamuzi auu??!! Nawashaurii achenii chuo muapply upya muonee kazi kupata chuo na marks zenu za BRN

Ahsante xana we GENIOUS Serotherapy..We Mkali ama nin.Hhahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom