MSHALE KIUNONI
Member
- Aug 6, 2014
- 87
- 14
Inashangaza na kusikitisha sana kwa unyama wanaofanyiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha st. Joseph, kwan chuo kilifunguliwa tar 15/10 mwaka huu kwa first year, ambapo watu wanaosoma hapo wametoka mikoa mbalimbali TZ na wengi wao wamepata mikopo kutoka HESLB, but cha kushangazampaka muda huu hawajapewa boom lao.
Wanafunzi wana hali mbaya sana ambapo ukiwaona utawaonea huruma kwan inafika kipindi mtu hata assignment hafanyi kwan hana ream papers, pia wengi hula mlo mmoja kwa masaa 24 na wakat wengne hata huo mlo mmoja hana.
Ifike nahali uongozi wa chuo hiki uwe na ubinadamu, wasing'ang'anie kupata faida kwa hela zisizo za kwao. Ushauri wenu wadau ni wa mhimu sana juu ya kipi wanafunzi wafanye kwan mpaka wanafunzi wengine wamefikia uamzi wa kuahirisha mwaka.