St.joseph wahindi wapigana wao kwa wao

waseko

New Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
4
Reaction score
4
Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa raia wema na kuokolewa afunguka kuhusu uozo uliopo chuoni hapo asema wanafunzi wamegoma kwa haki asema wanaongozwa kwa mabavu wamekuwa wakilazimishwa na mkuu wao kusain mikataba kandamizi kwa wanafunzi asema pia utapeli unaofanywa chuoni hapo zikiwemo koz za uongo(unregistered course) lakini pia asema chuo hicho kina utaratibu wa kuajili watu ambao hawana vigezo vya kufundisha chuo kikuu wengi wao wana deploma kuhusu masister pia amesema huchukuliwa raia wa kawaida huko india na kupewa mafunzo ya siku mbili asema st.joseph inaongozwa na masister feki raia huyo waindia ameeleza mengi sana kuhusu chuo hicho pia tumefanikiwa kunasa mazungumzo yake live baadae tutawawekea video muone wenyewe. Raia huyo wa india kwa sasa yuko kituo cha polisi kwa ajili ya usalama wake. Hiki sio chuo serikari mkifute peleka wanafunzi udom majengo hayana wanafunzi agriculture pereka sua na katavi and let this people go back to india wanaharibu elimu yetu wako kimasilahi zaid na siyo elimu bora.elimu gani mtu anakuwa na matokeo matatu tofauti tcu mengine chuoni mengine heslb mengine huu udwanzi hafu serikari mmeuchuna haya majanga kweli.
 
Wafe kabisa nimechoka kusikia wahindi.

Ungewajua pengine usingesema hivyo! Au unawajua kwa kuwaona hao hapo Upanga! Nenda uone walivyo mbele katika taaluma za Tiba (mahospitali) Ujenzi na Uhandisi, Computer nk. Kuna kitu kingine kwenye hizo fujo, sio hivyo, na kama unawafahamu St Joseph vizuri, hayo yaliyoandikwa hapo juu hayawezi kuwa ya kweli!
 

acha ubishi ww sema ya kweli ww basi1 ubishi tu sasa kwa taarifa yako huyo aliyepigwa ni mwalm wangu wa c programming nawajua vizur hata kama wako vzr kweny hizo nyanja wakikosea lazima wasemwe! kapigwa kwelikweli na hao wezake wakitaka asaini ili wanafuz wafukuzwe akakataa akisema hawana hatia.
 
Wamuuwe ni msaliti huyo., wabongo siyo wa kuwatetea.
Please Veve kill him.
 
Hii nchi ngumu sana
viongozi hawaoni
lakini ndo ivo
poleni sana
 
kuna mtu alikulazimisha uchague chuo hicho,chuo chenyewe cha kata afu mnajifanya mpo chuo kikuu,karibu UDSM tuna piga kitabu mwamzo mwisho
 
Mbona mnamwita mhindi mmoja ni Denny of Students St Joseph Songea campus.
 

Usiwe unafikiri kijinga namna hii! Sisi ndio tuliopo chuoni a to z tunaijua, hayo aliyosema mleta mada yote yapo! We unabisha ulikuwepo?
 
kuna mtu alikulazimisha uchague chuo hicho,chuo chenyewe cha kata afu mnajifanya mpo chuo kikuu,karibu UDSM tuna piga kitabu mwamzo mwisho

Usomi wako UDSM nd'o umekusaidia kuandika haya?
 
Wahindi nao wamekua mzigo kama wachina..!!!
 
Mbona mnamwita mhindi mmoja ni Denny of Students St Joseph Songea campus.

Jamani huyo "Denny" of students ndio nani tena? Shule za kata zitatumaliza.

Tiba
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…