Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa raia wema na kuokolewa afunguka kuhusu uozo uliopo chuoni hapo asema wanafunzi wamegoma kwa haki asema wanaongozwa kwa mabavu wamekuwa wakilazimishwa na mkuu wao kusain mikataba kandamizi kwa wanafunzi asema pia utapeli unaofanywa chuoni hapo zikiwemo koz za uongo(unregistered course) lakini pia asema chuo hicho kina utaratibu wa kuajili watu ambao hawana vigezo vya kufundisha chuo kikuu wengi wao wana deploma kuhusu masister pia amesema huchukuliwa raia wa kawaida huko india na kupewa mafunzo ya siku mbili asema st.joseph inaongozwa na masister feki raia huyo waindia ameeleza mengi sana kuhusu chuo hicho pia tumefanikiwa kunasa mazungumzo yake live baadae tutawawekea video muone wenyewe. Raia huyo wa india kwa sasa yuko kituo cha polisi kwa ajili ya usalama wake. Hiki sio chuo serikari mkifute peleka wanafunzi udom majengo hayana wanafunzi agriculture pereka sua na katavi and let this people go back to india wanaharibu elimu yetu wako kimasilahi zaid na siyo elimu bora.elimu gani mtu anakuwa na matokeo matatu tofauti tcu mengine chuoni mengine heslb mengine huu udwanzi hafu serikari mmeuchuna haya majanga kweli.