St.joseph wahindi wapigana wao kwa wao

we jamaa unawatetea ndugu zako nini? Hatukatai ni wazuri katika hizo fani ila huku wanakuja kuchuma na maneno hayo wanayatamka hadharan,i mimi niko Songea na nafahamu vizuri kilichotokea na hicho chuo ukikiona udahani ni shule ya msingi na sheria zao ni kama za sekondari, kwanza huruhusiwi kuwa na simu maeneo ya chuo, hurusiwi kua na laptop hata uwe mwanafunzi wa IT, kila siku yanaitwa majina yaani attendance isipokuwepo unapewa adhabu ya kulima na kufyeka, ukikosa kosa lolote darasani unafinywa au unapigwa na rula. Halafu richa ya hayo huwa wanatamka hadharani kwamba viongozi wetu wa serikali wamewaweka mikononi mwao, harafu wanasema sisi ni watumwa katika nchi yetu maana hatuwezi kusema lolote kuhusu wao, pia boom likifika jamaa wanapewa baada ya miezi itatu. Hii ni haki kweli!
 

Kama hayo ni kweli basi poleni sana! Nafikiri mamlaka husika watafuatilia na kuchukua hatua stahiki.
 
Nimeshindwa kuweka link ila kwa wanaotaka kuiona ingia youtube afu search "THE SECRET CONCERNING ST JOSEPH SONGEA CAMPUS".
 
Mbaya sana hiyo. Watanzania tuweni makini sana, hawa wa2 wamekuwa waki2trick sana. Wanatuibia? If the government cant do it we gona do it.
 
ST.JOSEPH ni chuo cha kata kabisa ,hakina hadhi ya kuitwa university
 
duh mi naamini UDSM inatoa wasomi wazuri lakini wewe usijihesabie kama mmojawapo!! Usikasirike
siwezi ongea na vijana wa kizazi cha mulugo yaani umefanyiwa standardization lakini tokeo lako bado bovu na umepeleka huko Songea,hasa unaanza kujutia chuo chako hicho ulichochaguliwa,achana na mimi kipanga ambae sina shida ninasoma chuo bora sana barani Afrika na Ulimwenguni pia(UDSM),huku hakuna kero kama za kwenu tunapiga kitabu mwanzo mwisho
 

Hahaha mkuu mbona unapanic?
Hivi msomi huwa ana-behave namna hii?
Nina wasiwasi kama kweli nawe ni mmoja wa wasomi hapo UDSM!
 
Hahaha mkuu mbona unapanic?
Hivi msomi huwa ana-behave namna hii?
Nina wasiwasi kama kweli nawe ni mmoja wa wasomi hapo UDSM!
sijapanic ila naona unataka tuendelee kutawala humu JF,na kama una wasiwasi na mimi basi baki hivyo,natoa onyo la mwisho kuwa kama utaendelea kujibu comments zangu basi nitakuwa bwana wako,na kama ukinyamaza kimya basi utakuwa umeniogopa,I love UDSM ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…