Hovyo kabisa. Wanajitahidi sana kutugawa ili waendee kututawala...badala ya kutuunganishaWalioko juu hawana uzalendo kabisa.
KAyumbaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeee.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unapata one lakini unajifikilia msahishaji alikielewaje kiingereza chako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Inaonekana huyu dogo wa mbele kaboreka na masomo ya siku husika(hope alikuwa haelewani na mwalimu wa somo la Kiinglish), anawahi home kukata majni ya Sungura wake.that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
Ulikuwa unacholi za wenzako tu. We kiboko.ulikuwa na moyo wa kununua fagio hahahaa, sikuwahi kununua fagio
Mwaka gani?Cc:shilole
Haha, ila me nimewahi wakimbiza hata st. hawakutoboa.
Nakumbuka ilikuwa ni English forum competition ilifanyika mbeya miaka hiyo.
St.Francis, st.Mary's na st.Aggrey walikaa.
Niliwashindia kwenye kuweka viunganishi na mbwembwe za kiinglishi zote unazozifahamu
Hongera.Jembe,fagio,fyekeo.Ninachojivunia tu ni wanangu kusoma comfotably kwenye shule ambazo kuna wafanyakazi wa kufanya hizo kazi,kuna canteen,darasa moja wanafunzi hawazidi 20.Sijivunii chochote kusoma shule mara mmwagilie maua,mara mlime yaani ni unyanyasaji kabisa.I thank God wanangu hawajapitia na hawatapitia hayo maisha a shule nilopitia.
Kwa sababu ya kukimbia bakora za aina hiyo, nili-dodge hadi mtihani wa Jiografia wa std V. Kibaya zaidi goma ndio lilikuwa la kufungia mwaka. AIBUWakuu nYie seMen yote MsalA kucHelewa MstaliN haLaf walimu wanachapa namba we ndo unafika unavohaha kwa kujificha KilA sehemU hUwa HaIkalikI Mbaya zaid ufumwe Na MatICha WaNoko wanaozunGuka kutaFuta wanafunz waliojificha Mbona Utaisoma namba ukifumwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yarabi mbavu zangu.Kuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks
hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
Kuan mmoja tulimfuata, akani-chenjia. Baadae aliona moto wangu. Mpaka leo ana alama yangu.Na ile ya kuwa mtoro shule halafu wababe wa darasa wanatumwa kukufwata na kukuleta kwa nguvu, jamaa walikuwa na sifa sana, kwanza wana mbio balaa wakikuona utakamatika tu hata ifike jioni, ukifikishwa shule hizo bakora zake sasa...
wale wa chimbo mpo lakini? kuna wanafunzi walikua ma tabia za ajabu eti walikua wanachambia ukuta wa vyoo vya walimu kila jioni tukiondoka. na hawakushikwa hadi tunamaliza la saba.. so f*cking funny