St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

Hii hainihusu ngoja ianzishwe ya walosoma shule za dini mwanzo mwenga.wazazi bwana ,eti unaanza vidudu mpaka six shule za dini tu,wanadhani ndo tutakuwa wachamungu kumbe looh.
Eniwei st kayumba nlibahatika kusoma wili mbili tu darasa la kwanza.ilikuwa ikifika break time mwalimu anatukomalia tusitoke mpaka tununue aisikirimu na maandazi yake.eti alikuwa anasema ni za maziwa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unapata one lakini unajifikilia msahishaji alikielewaje kiingereza chako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
KAyumbaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeee.
 
Daaaah st. Kayumba tukiombaga maxi utatujua too utasikia ( am hiya so zat inoda to get work of job mmmh mmmh in oda to simplify my life)
 
444aba670d705936a21c117449f7f251.jpg
that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
Inaonekana huyu dogo wa mbele kaboreka na masomo ya siku husika(hope alikuwa haelewani na mwalimu wa somo la Kiinglish), anawahi home kukata majni ya Sungura wake.
Ndo maisha yetu hayo.
 
wale wa chimbo mpo lakini? kuna wanafunzi walikua ma tabia za ajabu eti walikua wanachambia ukuta wa vyoo vya walimu kila jioni tukiondoka. na hawakushikwa hadi tunamaliza la saba.. so f*cking funny
 
Cc:shilole

Haha, ila me nimewahi wakimbiza hata st. hawakutoboa.
Nakumbuka ilikuwa ni English forum competition ilifanyika mbeya miaka hiyo.
St.Francis, st.Mary's na st.Aggrey walikaa.
Niliwashindia kwenye kuweka viunganishi na mbwembwe za kiinglishi zote unazozifahamu
Mwaka gani?
F
 
Jembe,fagio,fyekeo.Ninachojivunia tu ni wanangu kusoma comfotably kwenye shule ambazo kuna wafanyakazi wa kufanya hizo kazi,kuna canteen,darasa moja wanafunzi hawazidi 20.Sijivunii chochote kusoma shule mara mmwagilie maua,mara mlime yaani ni unyanyasaji kabisa.I thank God wanangu hawajapitia na hawatapitia hayo maisha a shule nilopitia.
Hongera.
Ila wakumbushe kuwa, baadae watakuja ishi na kufanya kazi na waliosoma kanumba. Na ndio wanaweza kuwa matajiri na viongozi wake.
 
Wakuu nYie seMen yote MsalA kucHelewa MstaliN haLaf walimu wanachapa namba we ndo unafika unavohaha kwa kujificha KilA sehemU hUwa HaIkalikI Mbaya zaid ufumwe Na MatICha WaNoko wanaozunGuka kutaFuta wanafunz waliojificha Mbona Utaisoma namba ukifumwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu ya kukimbia bakora za aina hiyo, nili-dodge hadi mtihani wa Jiografia wa std V. Kibaya zaidi goma ndio lilikuwa la kufungia mwaka. AIBU
 
Kuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks

hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
Yarabi mbavu zangu.
 
Darasa la Saba, kuna mwanafunzi alichelewa kuingia class, kamkuta mwalimu wa English ametuna, akampigisha magoti, wakati anaendelea kufundisha akamuuliza maana ya "common" , akamjibu common pombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. . Won't ever forget that
 
Na ile ya kuwa mtoro shule halafu wababe wa darasa wanatumwa kukufwata na kukuleta kwa nguvu, jamaa walikuwa na sifa sana, kwanza wana mbio balaa wakikuona utakamatika tu hata ifike jioni, ukifikishwa shule hizo bakora zake sasa...
Kuan mmoja tulimfuata, akani-chenjia. Baadae aliona moto wangu. Mpaka leo ana alama yangu.
 
Sitasahau primary siku ya J5 njoo na JEMBE ,KUNI, MAJI, na fagio
Unafika shule unafika shule unaambiwa kachote Maji ya mwlm, kamfulie nguo mwalimu, St. Kayumba mateso
 
NAKUMBUKA KUNA SIKU TULIFANYA SANA FUJO DARASANI AKAINGIA MWLM WA KINGEREZA KUFUNDISHA ACHA KABISA AISEE,VITABU ALIWEKA PEMBENI ALICHUMA MIFIMBO KIBAO,
ALITEMBEZA BAKORA DARASA ZIMA ALIVOMALIZA AKASEMA"fimbo inaisha kidogo kidogo kama mswaki inaumia mitako tu"



KUNA SIKU TUPO DARASANI KWENYE PINDI LA NAMBA MWLM ALIULIZA KANUNI YA KUSOLVE UMBO LA PEMBE TATU AMBAYO NI NUSU MARA KITAKO MARA KIMO KUNA JAMAA YANGU MZAA MWINGI AKANYOSHA KIDOLE MWLM AKASEMA TUAMBIE KANUNI YAKE JAMAA ALIJIBU "nusu mara kijungu mara kimo", kilichotokea hapo nadhani kila mtu anajua
 
wale wa chimbo mpo lakini? kuna wanafunzi walikua ma tabia za ajabu eti walikua wanachambia ukuta wa vyoo vya walimu kila jioni tukiondoka. na hawakushikwa hadi tunamaliza la saba.. so f*cking funny


Hii ya chimbo unanikumbusha mbali sana aisee,kuna siku nipo chimbo na jamaa yangu klabu ya yanga,inapita ndege namwambia yule rafiki yangu huku tunaiangalia ndege,"dah natamani siku moja niwe rubani",Leo nikimkumbusha jamaa huwa tunacheka sana aisee
 
Nakumbuka mengi jamani.....ila wakati naanza chekechea (nursery) siku ya kwanza nilimpiga sister (Roman Catholic) na kiatu pale alipofunga geti ili nisitoroke shule.....daahhh!!!!!
 
Back
Top Bottom