St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

St kayumba za dar earl2000 darasa la sita kwenda la saba kulikua na utaratibu wa kushindana kwenye mitihani inashirikisha shule nyingi,bwana ulikua ukifeli hizo stick zake balaa[emoji2][emoji2]mda wa kwenda mnashangilia makelele mpk mnafika
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka Shule ya msingi Uhuru mchanganyiko miaka ya 2000 tulikua tunakunywa juisi ya Sunvita.. Sio mchezo
 
Yaani ni HATARI.. NAKUMBUKA IKIGONGA SAA NNE KAMILI KILA MMOJA ANAWAHI MECHI KYA MADOGO WA KIJIJINI NA MJINI.
MECHI ZOTE NLIZOCHEZA HAKUNA KIPA. MWENYE MPIRA ANACHAGUA NANI ACHEZE PIA DOGO BONGE ANAKAA KIPA.KAMA UNA BIFU NA MWENYE MPIRA UTAISHIA KUPIGWA UKIGUSA MPIRAAA
 
Jembe,fagio,fyekeo.Ninachojivunia tu ni wanangu kusoma comfotably kwenye shule ambazo kuna wafanyakazi wa kufanya hizo kazi,kuna canteen,darasa moja wanafunzi hawazidi 20.Sijivunii chochote kusoma shule mara mmwagilie maua,mara mlime yaani ni unyanyasaji kabisa.I thank God wanangu hawajapitia na hawatapitia hayo maisha a shule nilopitia.
 

Perfect tena rafiki wa kpnd hiko wengi ni marafik wakweli mpk sasa maana mnajuana kweli kweli[emoji2][emoji2]
 
Sitaki kukumbuka kukalia jiwe darasani badala ya dawati shule ya msingi [emoji47][emoji47][emoji47]

Najivunia kusoma kayumba darasa la 1 mpaka chuo kikuu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sitaki kukumbuka kukalia jiwe darasani badala ya dawati shule ya msingi [emoji47][emoji47][emoji47]

Najivunia kusoma kayumba darasa la 1 mpaka chuo kikuu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Hahahahaha mkuu ni kweli kabisa
 
mwalimu anakwambia nifundishe nisifundishe lakini mshahara wangu unaingia... mwanafunzi unatakiwa ujitafutie kwa 75% mwalimu zake 25% tu.... hahahaha nilikuwa nazitafuta sunspensions tu ili nikae home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…